Papaa Mobimba
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 882
- 3,337
ukisema co copy ya nigeria,, jua sebene ni copy ya congohahaa..binaadamu tunatofauti sana...kwakweli mimi nimeielewa mnooo"" kwa sababu haina cpy za u Nigeria...bonge si la afropop"" mziki mzuri" kabisaa ..rylics zenye heshima "" kila mtu anaweza kuisikiliza"" jamaa ni mchawi wa music aiseee
ile ni afro pop chief....nasio sebene "" sawa "" jifunze vyema kuweza kuijua mitindo ya muzikukisema co copy ya nigeria,, jua sebene ni copy ya congo
mziki mzuri kabisa ...wameshazoea manyimbo yao ya matusi matusi "" alikiba anawaimbia mziki watu wanaojielewa "" wanaojiheshimu na kuuthamini utu wao "" so kwa sisi ma gentleman ngoma tumeilewa aisee...""ngoma classic kwa sie wahenga.....
nzurii sana!! ila SIO kwa vijana ambao hawaja maliza balehe
yah brother watu hawajui hilo +ubishi wa kijingamziki mzuri kabisa ...wameshazoea manyimbo yao ya matusi matusi "" alikiba anawaimbia mziki watu wanajielewa "" wanajiheshimu na kuuthamini utu wao "" so kwa sisi ma gentleman ngoma tumeilewa aisee...""
wabongo utatuweza kwa unafiki""Mziki mzuri Sana unaeleweka unachezeka n unaweza tazama hata ukiwa na familia nyumban
hahaa..binaadamu tunatofauti sana...kwakweli mimi nimeielewa mnooo"" kwa sababu haina cpy za u Nigeria...bonge si la afropop"" mziki mzuri" kabisaa ..rylics zenye heshima "" kila mtu anaweza kuisikiliza"" jamaa ni mchawi wa music aiseee