Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha ujinga wewe... eti maoni nyambafu..
Nimeisikiliza nyimbo hii zaidi ya mara tano. Ni wimbo wa kawaida sana ila kwasababu umeimbwa na Ali Kiba basi naamini utakuwa mkubwa. CMG wote wamejipanga kuanzia asubuhi kuhakikisha wanamuinua.
Nitarudi badae na maoni yangu...
Mke wangu una gubu.acha ujinga wewe... eti maoni nyambafu..
nyimbo classic hua ni za kawaida hazivumi sana ila zina ishi mda mrefu kma ngoma za NjenjeYa kawaida sana kwa upande wangu
ile ni afropop MZee "" ni mziki ambao ndio asili ya Africa nzima ...ule mziki hauna kwao " hahaaaNi kweli haina copy za Nigeria [emoji1184] ila kuna copy za congo
Wakuu naskia king kiba katoa boko leo hebu nijuzeni maana nipo shamba huku network haikamati vizuri[emoji23][emoji23]
Team Domo povuuuNyimbo takataka kabisa yani bongofleva ishakufa aisee kama wasanii wenye majina ndo wanatoa nyimbo mbovu ivi hao ambao hawavumi lakini wamo sijui wana hali gani!
Jagwa music ndo wataotutoa kimataifa.
Aminini maneno yangu!
Nimeisikiliza nyimbo hii zaidi ya mara tano. Ni wimbo wa kawaida sana ila kwasababu umeimbwa na Ali Kiba basi naamini utakuwa mkubwa. CMG wote wamejipanga kuanzia asubuhi kuhakikisha wanamuinua.
Nitarudi badae na maoni yangu...
Nyimbo ya vodafasta ishajifia hiyo team ndomoNdo ije ishindane na 'african beauty!!?'
hahaa...wajiita papa mobimba halafu wajifanya hauelewi mziki wa asili ya Africa ..umerogwa au ?Mke wangu una gubu.
Unatafuta basha nini wewe choko?Team Domo povuuu