Ngoma mpya ya Ali Kiba ''Mvumo wa Radi''; Maoni na ushauri

Ngoma mpya ya Ali Kiba ''Mvumo wa Radi''; Maoni na ushauri

Nimeisikiliza nyimbo hii zaidi ya mara tano. Ni wimbo wa kawaida sana ila kwasababu umeimbwa na Ali Kiba basi naamini utakuwa mkubwa. CMG wote wamejipanga kuanzia asubuhi kuhakikisha wanamuinua.

Nitarudi badae na maoni yangu...
acha ujinga wewe... eti maoni nyambafu..
 
Ni kweli haina copy za Nigeria [emoji1184] ila kuna copy za congo
ile ni afropop MZee "" ni mziki ambao ndio asili ya Africa nzima ...ule mziki hauna kwao " hahaaa
 
Nyimbo takataka kabisa yani bongofleva ishakufa aisee kama wasanii wenye majina ndo wanatoa nyimbo mbovu ivi hao ambao hawavumi lakini wamo sijui wana hali gani!

Jagwa music ndo wataotutoa kimataifa.
Aminini maneno yangu!
Team Domo povuuu
 
Nimeisikiliza nyimbo hii zaidi ya mara tano. Ni wimbo wa kawaida sana ila kwasababu umeimbwa na Ali Kiba basi naamini utakuwa mkubwa. CMG wote wamejipanga kuanzia asubuhi kuhakikisha wanamuinua.

Nitarudi badae na maoni yangu...

Hapa yuko category ya christian bella. Mimi nimeuona wa kawaida tu.
 
Back
Top Bottom