Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maana yake kwanza nini!??mbali na kufeli kwenye hii ngoma,hata title tu ya wimbo kafeli kwa maoni yangu...mjina gani huu eti "mvumo wa radi" jina refuuuuu.
Ina nakala ya Kongohahaa..binaadamu tunatofauti sana...kwakweli mimi nimeielewa mnooo"" kwa sababu haina cpy za u Nigeria...bonge si la afropop"" mziki mzuri" kabisaa ..rylics zenye heshima "" kila mtu anaweza kuisikiliza"" jamaa ni mchawi wa music aiseee
Hahaahmziki mzuri kabisa ...wameshazoea manyimbo yao ya matusi matusi "" alikiba anawaimbia mziki watu wanaojielewa "" wanaojiheshimu na kuuthamini utu wao "" so kwa sisi ma gentleman ngoma tumeilewa aisee...""
hakika unaujua mziki mzuri...kudosBonge la chakacha na kucheza kivyake kabisa,
uhuni uhuni tu "" kama kikundi cha panya roadHahaah
sio mara niipake mate niteleze kama nyoka......mara inama upige deki
Mkuu kasikilize kwangwaru.Hovyo hovyo...taka tupu.
Nakubaliana na wewe.. binafsi toka mwaka umeanza sijasikia wimbo wa kibongo ulonikosha kama kinanda ni mzuri mno then wet ya mdee ni nzuri pia.daaahhhh"" bongo watu wanafiki sana...KINANDA ni bonge la nyimbo lakini wanaajifnya kama hawalioni...yaani kwa upande wangu ndio nyimbo bora ya huu mwaka""sio mchezo aissee
Kinanda ni balaa aisee tatizo bongo uteam usio na faida ni mwingi... napenda music industry ya Nigeria, ukitoa nyimbo tamu lazima itoboe huku davido, huku wizkid mara tekno, huku mr eazi, pale runtown, hapa timaya, kati mzee wa sisi maria pale patoranking bado hujakuana na tiwa, pale yemi alade.pitia hii comment" nilikwambia kuwa Kibanda ni balaa ukabisha Jolie Jolie

Wazee wakutafuta kasoro.. ila nyimbo naona imekuingia vyemaBora ingeitwa radi kuliko kuwa na title kama bara bara ya mabasi ya mwendo kasi...
Hivi ni nani huruhusu Kiba akosee kila leo? hivi hiyo ni title ya wimbo au ni mashairi ya wimbo?
Huyu jamaa anapewa promo na crauds. Lakini ngoma ni ya kawaida mno