Ngoma mpya ya Ali Kiba ''Mvumo wa Radi''; Maoni na ushauri

hivi tuseme tu ukweli..Kwangwaru na hii Radi upi ni wimbo wa kila rika? kaa hlf pima katika fikra zako kwamba kuna siku utamsikia dogo wako kitaa anaimba mvumo wa radi.
 
hakuna kitu pale! hii ni kwa mimi binafc lbd na mimi niusikilize zaidi ya mara 10 ndo nitauelewa km ww
 
Usinitenge kama napenda kula, do u remember?[emoji3]
 
Nyimbo gani unasikiliza Zaid ya mara kumi kwa maana hiyo hapo ulikuwa una force kuipenda nyimbo ni sikio moja tu
 
Hamjaelewa! Yule jamaa anafany vitu kwa malengo.. ule wimbo ameutumia kutangaza kinywaji chake kipya cha MoFaya(kama umeangalia video utaliona hilo) na nyimbo ina maazi ya ki Afrika mpk dress codes zinaonesha.. wimbo unachezeka pia, unataka kufanana na ule Mwana Dar es salamaa.. ni kazi nzuri ya Man Walter..!!
 
KIZURI CHAJIUZA KIBAYA CHAJITEMBEZA

piga mara50 hyo nyimbo uipende banaa otherwise hakuna kitu hapo ZAID ya boost tu
 
Nyimbo yoyote ukiisikiliza mara nyingi hata kama ni mbaya utaiona nzuri tu kwa sababu utakuwa umejiunganisha kisaikolojia na hiyo nyimbo.Ndio mantiki ya kauli ile "uongo ukiongelewa sana uwa ukweli". Ndivyo binadamu tulivyo.

Nyimbo nzuri ukiisikiliza mara ya kwanza tu utaikubali.
 
Yote kwa yote tunachojua sisi ni official video na ni nyimbo mpya ya aly kiba
 
Nyimbo iko bomba sana ndio maana nairudia ingekuwa mbaya hata mda wa kuisikiliza mara kwa mara sifanyi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…