Kivipi Mkuu...Hao ni FM academia huo wimbo ni Alikiba ft FM academia
Mo fayaaaaNimeisikiliza nyimbo hii zaidi ya mara tano. Ni wimbo wa kawaida sana ila kwasababu umeimbwa na Ali Kiba basi naamini utakuwa mkubwa. CMG wote wamejipanga kuanzia asubuhi kuhakikisha wanamuinua.
Nitarudi badae na maoni yangu...
24hrs bado hajagonga views 1M kweli mavimavi tu....!!Mo fayaaaa View attachment 775353
Ha ha mbona umetoa pole,ngoma chini ya kiwango?..Jamani...
Poleni.
24hrs bado hajagonga views 1M kweli mavimavi tu....!!
imekuwa trending sababu imekutana na ngoma za kishamba.....Kwangwaru ndani ya masaa matano tu 1M views....Hiyo radi hadi sasa imegot Kwenye 781K dooh....ila any way mziki mzuri kwa wanaopenda swaga hizo za kina Nyoshi#1 on trending
Pop It In
imekuwa trending sababu imekutana na ngoma za kishamba.....Kwangwaru ndani ya masaa matano tu 1M views....Hiyo radi hadi sasa imegot Kwenye 781K dooh....ila any way mziki mzuri kwa wanaopenda swaga hizo za kina Nyoshi
The coming of age now anaimba tupendane Africa nzima yaani now Kiba amekua mkubwa hadi anaimba mwimbo ambao unapendwa hadi nyanya yako.Usinitenge kama napenda kula, do u remember?[emoji3]
Yes Kiba is a business man.Hamjaelewa! Yule jamaa anafany vitu kwa malengo.. ule wimbo ameutumia kutangaza kinywaji chake kipya cha MoFaya(kama umeangalia video utaliona hilo) na nyimbo ina maazi ya ki Afrika mpk dress codes zinaonesha.. wimbo unachezeka pia, unataka kufanana na ule Mwana Dar es salamaa.. ni kazi nzuri ya Man Walter..!!
Haha kama una jazba hivi.Mavi tu hamna kitu hapo,king anafeli sana
Sawa jiandae kuliwa tigo juma tatuHakuna kiki promo ya Mange hakuna kiki ya WCB safari hii huu wimbo ukifikisha views 1M ndani ya siku tatu najivua uteam Mond nahamia kwa Kiba.......mtu anikumbushe hii kitu J3....