Ngoma mpya ya Ali Kiba ''Mvumo wa Radi''; Maoni na ushauri

Ngoma mpya ya Ali Kiba ''Mvumo wa Radi''; Maoni na ushauri

Kwa hiyo Wazee wa mujini a.k.a Wazee wa Ngwasuma wanataka kurudi kiaina
Wapi Nyoshi-El-Saadat sauti ya simba a.k.a Rais ya vijana (according to him na siyo Rais wa vijana),Pacho Mwamba a.k.a Tajiri,33 na wengio wengi!
 


Nimeisikiliza nyimbo hii zaidi ya mara tano. Ni wimbo wa kawaida sana ila kwasababu umeimbwa na Ali Kiba basi naamini utakuwa mkubwa. CMG wote wamejipanga kuanzia asubuhi kuhakikisha wanamuinua.

Nitarudi badae na maoni yangu...
Mo fayaaaa
Kiba.jpeg
 
Nimesikiliza dakika moja nikatoa inanimalizia bando tu ndo nyimbo mbovu kuwahi kutoa alikiba wallahi.
Hii ikipita wiki watu wanasikiliza nitajua kweli kuna binadamu wana mahaba.
 
#1 on trending

Pop It In
imekuwa trending sababu imekutana na ngoma za kishamba.....Kwangwaru ndani ya masaa matano tu 1M views....Hiyo radi hadi sasa imegot Kwenye 781K dooh....ila any way mziki mzuri kwa wanaopenda swaga hizo za kina Nyoshi
 
Mo fayaaa
imekuwa trending sababu imekutana na ngoma za kishamba.....Kwangwaru ndani ya masaa matano tu 1M views....Hiyo radi hadi sasa imegot Kwenye 781K dooh....ila any way mziki mzuri kwa wanaopenda swaga hizo za kina Nyoshi
 
Ali kiba anajua sana kuimba. Sina team na huu wimbo ukitaka uufaidi sikiliza audio.. pale wanapoitikia wakongo unahis kama upo kinshasa
 
Ngoma ni nzuri inachezeka. Ila pale alipoweka igizo sijui what is your name kanikera. Ndo uko unacheza sasa unasimama wamalize kuulizana au??
 
Hamjaelewa! Yule jamaa anafany vitu kwa malengo.. ule wimbo ameutumia kutangaza kinywaji chake kipya cha MoFaya(kama umeangalia video utaliona hilo) na nyimbo ina maazi ya ki Afrika mpk dress codes zinaonesha.. wimbo unachezeka pia, unataka kufanana na ule Mwana Dar es salamaa.. ni kazi nzuri ya Man Walter..!!
Yes Kiba is a business man.
 
Back
Top Bottom