Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
usipo ipenda ile nyimbo ..utakuwa haututendei haki wapenzi wa mziki mzuri aiseee[emoji23] [emoji23] [emoji23] nilikwambia subiri nifanye mrudio wa kuiskiliza ndo niipe maksi
kabisaaaa mkuu""Wanyoa viduku na wanaoshusha suruali chini ya ma.ka.li.o na wapenda mijimama marioo hawawezi kuuelewa huu wimbo Abadani
acha tu "" mkuu" tatizo wanashindwa kuelewa kuwa alikiba aliamua kuuacha mziki tu ndio umpatie jina ...ndio maana huwezi kukuta ana jibizana hovyo hovyo na mtu ..au anapost clip zakijinga mitandaoni ili ajipatie kick...so sisi wengine tunavutiwa na hilo pia toka kwake ..kwa sbabu hatupndi "" mambo yaliyokosa ustaarabuMkuu upo kama mimi. Ali kiba anafanya vitu ambavyo hata ukikaa na wanao hujisikii noma kusikiliza au kuangalia kutokana na tamaduni zetu.
Big up Ali kiba. Ngoma nimeielewa
NitakukumbushaHakuna kiki promo ya Mange hakuna kiki ya WCB safari hii huu wimbo ukifikisha views 1M ndani ya siku tatu najivua uteam Mond nahamia kwa Kiba.......mtu anikumbushe hii kitu J3....
Hance Mtanashati naskia ndo Diamond mwenyeweDiamond yupo humu Jf ila jina siri yetu. [emoji23]
Unaifaham afro pop vizuri mkuu kuna vionjo vya sebene kwenye huo wimboile ni afro pop chief....nasio sebene "" sawa "" jifunze vyema mitindo ya muzik
HahahaDiamond yupo humu Jf ila jina siri yetu. [emoji23]
Nipe code izoDiamond yupo humu Jf ila jina siri yetu. [emoji23]
mtafute data atakupa details zoteNipe code izo
Thubutuuuuu nikimtaja atamaindi ila yupo humu halafu huwa hakomenti ana like na kusepa.Hance Mtanashati naskia ndo Diamond mwenyewe