Ngoma mpya ya Ali Kiba ''Mvumo wa Radi''; Maoni na ushauri

Ngoma mpya ya Ali Kiba ''Mvumo wa Radi''; Maoni na ushauri

ngoma classic kwa sie wahenga.....
nzurii sana!! ila SIO kwa vijana ambao hawaja maliza balehe
kwelii kabisa ngoma imetulia npo na mshua muda huu tunaiskiza kweny gar katuliaa naona anatingisha kichwa tuu[emoji12] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 


Nimeisikiliza nyimbo hii zaidi ya mara tano. Ni wimbo wa kawaida sana ila kwasababu umeimbwa na Ali Kiba basi naamini utakuwa mkubwa. CMG wote wamejipanga kuanzia asubuhi kuhakikisha wanamuinua.

Nitarudi badae na maoni yangu...
tunaiskiza apa na mshua tunasafiri naona katulia tuliiii anatingisha kichwa tu
 
Nimeipata nyimbo mpya ya alikiba ila aliyenikosha zaidi huyu jamaa sauti yake kama ya kikongo hivi sijui ni nani huyu jamaa jina lake
 
mi nataka nimfaham yule jamaa aliyebonga kizungu na kucheeeeeekaaa..!
 
Unatafuta basha nini wewe choko?
sasa ningekua timu ya mtu mbona nimesema hao wasanii wenye majina makubwa wanatoa boko yani uyo alikiba na uyo diamond wote mapimbi tu mbona kama wewe!

Mimi sio disciple wa mbwiga yoyote yule.
Naongea facts thats all MF!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom