Ngoma ya AliKiba mac muga ilikua na video iliyokua mbele ya muda sana

shenzii

Member
Joined
Dec 29, 2021
Posts
66
Reaction score
203
Kuelekea miaka 30 ya bongo fleva kuna baadhi ya ngoma zilikua mbele ya muda sana ukiachana na ngoma ya alikiba mapenzi yana run dunia ila video ya macmuga ilikua kali mno kwa kipindi hicho kwanza mandinga ya kwenye video yalikua hot πŸ”₯ pia location director Ali fanya makubwa mnoo dazmwalim nae Ali fanya poa sana kipind hicho cheers πŸ₯‚ let's enjoy the moment
 
Only this πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…