Ng'ombe bora wa maziwa aina ya Holstein freisian, Jersey na Ayrshire wanapatikana

Mkuu Ng'ombe mwenye mimba anaachwa kukamuliwa akiwa na miezi mingapi ya mimba?

Na akishazaa ataendelea kukamuliwa mpaka kipindi kipi?
 
Mkuu Ng'ombe mwenye mimba anaachwa kukamuliwa akiwa na miezi mingapi ya mimba?

Na akishazaa ataendelea kukamuliwa mpaka kipindi kipi?
Unamwachisha akiwa na miezi saba ya mimba japo wengine hadi nane kama bado atakuwa na maziwa mengi, kama muda huo umepita na bado hakati maziwa basi daktari ataweza kukushauri namna ya kumkausha maziwa kwaajiri ya kumwandaa kuzaa
 
Mkuu tafadhali ungefafanua hao ng'ombe wanatoa maxiwa kiasi gani kila aina.
Pili tofauti ya maziwa yao..ubora kwa kila aina ya ng'ombe?
 
Kuna ngimbe wanaotoa 20lts kwa mkamuo nitawapata wapi nahitaji mmoja tu wa kuanzia maisha mjini
Fika Arusha sehemu ya Danish..Usa river hautojuta.
...utajifunza aina bora ya ng'ombe
....utapewa ng'ombe wa maziwa hadi 30lt
....utafundishwa namna ya kuongeza uzalishaji kwa kupewa mbegu bora
 
Fika Arusha sehemu ya Danish..Usa river hautojuta.
...utajifunza aina bora ya ng'ombe
....utapewa ng'ombe wa maziwa hadi 30lt
....utafundishwa namna ya kuongeza uzalishaji kwa kupewa mbegu bora
Ongezea nyama ,hao ng'ombe wapo kwenye shamba gani/mtu akifika hapo Danish aulize kwa nani,mawasiliano yao nk.
 
Samahani sijaingia muda humu naona kuna mjadala lakini nitamjibu kila mmoja
 
Huyu chuchu zake tu zaonesha hawezi toa hizo lita ishirini

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Mkuu huo ni mtamba haujawahi zaa usitegemee kuwa chuchu kubwa wakati bado hauna hata uzao mmoja

Alafu wenye lita hizo wanaanzia walau mizao miwili kuendelea.
 
Kuna watu wataenda kulizwa muda si mrefu
Boss hakuna atakaelizwa sisi tupo shambani mteja anakagua mfugo anajilidhisha ndipo anapofanya malipo kama nitofauti na matarajio yake anaweza kuacha akatafuta pengine

Lakini pia tubadilike attitude zetu sio kila kitu utapeli ndugu yangu watu tulio wauzia mifugo wapo humu wengi tu.
 
Atakayelizwa atakuwa mjinga, ng'ombe ananunuliwa baada ya kumuona, kujua afya yake, kujua rekodi zake mbalimbali nk. Kama kuna mtu anaweza kutuma fedha bila kumuona ng'ombe husika huyo ni mjinga.
Sahihi makuu.
 
Atakayelizwa atakuwa mjinga, ng'ombe ananunuliwa baada ya kumuona, kujua afya yake, kujua rekodi zake mbalimbali nk. Kama kuna mtu anaweza kutuma fedha bila kumuona ng'ombe husika huyo ni mjinga.
Tumeona na tunaendelea kuona. Mara nyingi hua mnaanza hivyo then mtasema atoe advance ndio mnayeya na kwenda kwa mama sirudi. Ni vyema wadau wawe makini na nyie wafanyabiashara wa mtandaoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…