Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamwachisha akiwa na miezi saba ya mimba japo wengine hadi nane kama bado atakuwa na maziwa mengi, kama muda huo umepita na bado hakati maziwa basi daktari ataweza kukushauri namna ya kumkausha maziwa kwaajiri ya kumwandaa kuzaaMkuu Ng'ombe mwenye mimba anaachwa kukamuliwa akiwa na miezi mingapi ya mimba?
Na akishazaa ataendelea kukamuliwa mpaka kipindi kipi?
Mkuu tafadhali ungefafanua hao ng'ombe wanatoa maxiwa kiasi gani kila aina.Ndugu wadau wafugaji tunatoa huduma ya uuzaji wa ng'ombe wa maziwa wilayani Rungwe mkoani mbeya karibuni kwa ng'ombe aina hizo kwa bei nafuu saana
Tunatoa elimu na ushauri kuhusu ufugaji bora, pia ng'ombe wetu wanastahimili mazingira ya hari ya hewa tofauti ya mikoa yote tanzania
-Madume bora
- Mitamba ( yenye mimba na isio na mimba)
- Ndama aina zote
- Wa maziwa mpaka Lita 20 kwa siku
Tutafute kwa namba 0756416149
Namba hiyo WhatsApp pia.
View attachment 2558376
UtaibiwaKuna ngimbe wanaotoa 20lts kwa mkamuo nitawapata wapi nahitaji mmoja tu wa kuanzia maisha mjini
Huyu chuchu zake tu zaonesha hawezi toa hizo lita ishiriniMtamba mimba miezi sita View attachment 2558794View attachment 2558795
Fika Arusha sehemu ya Danish..Usa river hautojuta.Kuna ngimbe wanaotoa 20lts kwa mkamuo nitawapata wapi nahitaji mmoja tu wa kuanzia maisha mjini
Ongezea nyama ,hao ng'ombe wapo kwenye shamba gani/mtu akifika hapo Danish aulize kwa nani,mawasiliano yao nk.Fika Arusha sehemu ya Danish..Usa river hautojuta.
...utajifunza aina bora ya ng'ombe
....utapewa ng'ombe wa maziwa hadi 30lt
....utafundishwa namna ya kuongeza uzalishaji kwa kupewa mbegu bora
Atakayelizwa atakuwa mjinga, ng'ombe ananunuliwa baada ya kumuona, kujua afya yake, kujua rekodi zake mbalimbali nk. Kama kuna mtu anaweza kutuma fedha bila kumuona ng'ombe husika huyo ni mjinga.Kuna watu wataenda kulizwa muda si mrefu
Mkuu huo ni mtamba haujawahi zaa usitegemee kuwa chuchu kubwa wakati bado hauna hata uzao mmojaHuyu chuchu zake tu zaonesha hawezi toa hizo lita ishirini
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Boss hakuna atakaelizwa sisi tupo shambani mteja anakagua mfugo anajilidhisha ndipo anapofanya malipo kama nitofauti na matarajio yake anaweza kuacha akatafuta pengineKuna watu wataenda kulizwa muda si mrefu
Mkuu nimetaja NARCO hii ni shirika la umma...elimu utapewa bureOngezea nyama ,hao ng'ombe wapo kwenye shamba gani/mtu akifika hapo Danish aulize kwa nani,mawasiliano yao nk.
Tumeona na tunaendelea kuona. Mara nyingi hua mnaanza hivyo then mtasema atoe advance ndio mnayeya na kwenda kwa mama sirudi. Ni vyema wadau wawe makini na nyie wafanyabiashara wa mtandaoni.Atakayelizwa atakuwa mjinga, ng'ombe ananunuliwa baada ya kumuona, kujua afya yake, kujua rekodi zake mbalimbali nk. Kama kuna mtu anaweza kutuma fedha bila kumuona ng'ombe husika huyo ni mjinga.
Narco kubwa na ipo sehemu nyingi. Narco ya wapi hiyo ulipo?Mkuu nimetaja NARCO hii ni shirika la umma...elimu utapewa bure
Soma post yangu ya kwanza...iko eneo la Danish..Usa river ArushaNarco kubwa na ipo sehemu nyingi. Narco ya wapi hiyo ulipo?