CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
- Thread starter
-
- #21
Mpuuzi kumnunua unazani ni rahisi? inahitaji mtaji mkubwa na kumbuka Serikal inaweza fanya kwa lengo la kuondoa umasikini.Vijana wa mitandaoni kazi kulalamika na kulalamikia serikali tu, huu ni uzwazwa!! Kwanini usimnunue wewe huyo ng'ombe?! Vijana muache ulalamishi, mfanye vitu.
Sent from Moto G
Yes kama umezaliwa bushi na kutembea kwako ni ndani ya mkoa ulio zaliwa lazima uone haiwezekani.Nyie ndo bado mna mawazi ya wakati wa ujima mawazo kama yako yalikuwepo Ulaya miaka ya 1300.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]wengine wako busy kuleta post eti jinsi wananchi wanvyozuia msafara wa rais kuonyesha wana imani nae ccm wamechoka hakuna ane weza fikiria kama mtoa mada alicho suggest nakama kule akitokea wakusema haya lazima akemewe na kufukuzwa
wemzee wa mtandaoni unakipi cha inspiration chakufanya tujivunie tuache kulalamika??haya mambo ndio ilitakiwa serikali kuyafanya kuliko kutumia gharama nyingi kuwajaza watu wajinga kama wewe kupiga propaganda kwa watu wano ikumbusha serikaliVijana wa mitandaoni kazi kulalamika na kulalamikia serikali tu, huu ni uzwazwa!! Kwanini usimnunue wewe huyo ng'ombe?! Vijana muache ulalamishi, mfanye vitu.
Sent from Moto G
Inasikitisha sanaNchi hii nazani kuna watu still wako kwenye zama za Ujima too bad
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unazani utakuwa unamtuma shamba hoy akakate majani pembeni ya barabara then utegemee maziwa mengi?Ghalama ya malisho yake tuambieni pia ili tujue kama hizo Lita 100 zina - refract hizo ghalama, mana isije nchi ikaingia kwenye janga la njaa kwa kulisha ng'ombe hao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto wa mama huyo.wemzee wa mtandaoni unakipi cha inspiration chakufanya tujivunie tuache kulalamika??haya mambo ndio ilitakiwa serikali kuyafanya kuliko kutumia gharama nyingi kuwajaza watu wajinga kama wewe kupiga propaganda kwa watu wano ikumbusha serikali
Kizuri kina gharama. Huwezi ukawa unaebda kukata majani na usafiei wa baiskeli tena unaenda kukata pembeni ya barabara then utegemee maziwa mengi.Vizuri.. Ila gharama ya kumtunza isije kuwa kama ya yule faru Fausta