Ng'ombe toka Tanzania: Mnada kwa zamu, ni wakati wa Nairobi county kuuza

Ng'ombe toka Tanzania: Mnada kwa zamu, ni wakati wa Nairobi county kuuza

Sasa kama ng'ombe ni wa wamaasai wa Kenya unawashawashwa ya nini? Ukivunja sheria za kaunti, kama kutupa takataka ovyo ovyo au kukosa permit ya kufanya biashara zako jijini, huwa haupelekwi mahakamani, unafikishwa tu pale City Hall, makao makuu ya serikali ya kaunti ya Nairobi. Tena wanaokukamata ni askari wa jiji, si Kenya Police. Ulitegemea wafikishwe mbele ya Chief Justice David Maraga pale mahakama ya kilele? Hehehe, hapa mtaongea na Gavana Mike Sonko, si rais Uhuru Kenyatta. Unaitwa ugatuzi huo.

Wapigeni mnada basi, hakuna mtz mwenye akili timamu aache mapori yote Tz aende kuchungia Nrb. Mnajipiga vidole halafu mnanusa harufu ?
 
Hii picha ilikuwa mwaka 2014 na si ya Leo tena ulikuwa ni msafara wa Uhuru Kenyatta,sikupunguki vizuri lakini ni ya zamaaaaaaani
 
Fake News, yani ngombe wavuke border halafu watembee 160km bila mtu kujuwa au kuuliza. Kama sio fake news, basi kuna tatizo kwenye serikali yenu.
 
Tena baba YETU akisikia hii taarifa atasema

"na wauze haraka haraka walitumwa wakafuge nchi ya watu, Hao ni wahalifu serikali yangu Haina nafasi na majitu kama Hao, na iwe fundisho kwa wengine wakati ardhi ipo mpaka mkafugie kwa watu huo ni uchokozi, nawapongeza Sana wakenya hawa wakija tena Uzeni " in Maguful voice
In baba Jesca's voice[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tanzania's minister of Foreign Affairs yupo busy ku-negotiation Ugannda's SGR unlike Amina Mohammed that flew all the way to Dar.
 
Tena baba YETU akisikia hii taarifa atasema

"na wauze haraka haraka walitumwa wakafuge nchi ya watu, Hao ni wahalifu serikali yangu Haina nafasi na majitu kama Hao, na iwe fundisho kwa wengine wakati ardhi ipo mpaka mkafugie kwa watu huo ni uchokozi, nawapongeza Sana wakenya hawa wakija tena Uzeni " in Maguful voice
Kwa upande mwingine ni sawa ndiyo!
 
Back
Top Bottom