mtanzania1989
JF-Expert Member
- May 20, 2010
- 4,068
- 6,758
Sasa kama ng'ombe ni wa wamaasai wa Kenya unawashawashwa ya nini? Ukivunja sheria za kaunti, kama kutupa takataka ovyo ovyo au kukosa permit ya kufanya biashara zako jijini, huwa haupelekwi mahakamani, unafikishwa tu pale City Hall, makao makuu ya serikali ya kaunti ya Nairobi. Tena wanaokukamata ni askari wa jiji, si Kenya Police. Ulitegemea wafikishwe mbele ya Chief Justice David Maraga pale mahakama ya kilele? Hehehe, hapa mtaongea na Gavana Mike Sonko, si rais Uhuru Kenyatta. Unaitwa ugatuzi huo.
Wapigeni mnada basi, hakuna mtz mwenye akili timamu aache mapori yote Tz aende kuchungia Nrb. Mnajipiga vidole halafu mnanusa harufu ?