mtanzania1989
JF-Expert Member
- May 20, 2010
- 4,068
- 6,758
Sasa kama ng'ombe ni wa wamaasai wa Kenya unawashawashwa ya nini? Ukivunja sheria za kaunti, kama kutupa takataka ovyo ovyo au kukosa permit ya kufanya biashara zako jijini, huwa haupelekwi mahakamani, unafikishwa tu pale City Hall, makao makuu ya serikali ya kaunti ya Nairobi. Tena wanaokukamata ni askari wa jiji, si Kenya Police. Ulitegemea wafikishwe mbele ya Chief Justice David Maraga pale mahakama ya kilele? Hehehe, hapa mtaongea na Gavana Mike Sonko, si rais Uhuru Kenyatta. Unaitwa ugatuzi huo.
In baba Jesca's voice[emoji23][emoji23][emoji23]Tena baba YETU akisikia hii taarifa atasema
"na wauze haraka haraka walitumwa wakafuge nchi ya watu, Hao ni wahalifu serikali yangu Haina nafasi na majitu kama Hao, na iwe fundisho kwa wengine wakati ardhi ipo mpaka mkafugie kwa watu huo ni uchokozi, nawapongeza Sana wakenya hawa wakija tena Uzeni " in Maguful voice
Na wamejaa ile mbaya...Wauze tuu wala hamna shida bt tukikamata mkenya hana vbali huku tunaenda kumpiga mnada libya hahahaha
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Wauze tuu wala hamna shida bt tukikamata mkenya hana vbali huku tunaenda kumpiga mnada libya hahahaha
Haahahaahahaaa!Wauze tuu wala hamna shida bt tukikamata mkenya hana vbali huku tunaenda kumpiga mnada libya hahahaha
Kwa upande mwingine ni sawa ndiyo!Tena baba YETU akisikia hii taarifa atasema