Ng'ombe toka Tanzania: Mnada kwa zamu, ni wakati wa Nairobi county kuuza

Ng'ombe toka Tanzania: Mnada kwa zamu, ni wakati wa Nairobi county kuuza

waltham

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2014
Posts
2,522
Reaction score
1,045
Tanzanian cattle roam capital, county plans to auction them
1702023.jpg

Jan. 23, 2018, 1:00 am
By JULIUS OTIENO @juliusotieno04

City Hall says some cattle roaming and grazing in the city are from Tanzania and wants to auction them.

“Some come from Kajiado and Narok but we have found that most of them actually come from Tanzania,” Agriculture executive Danvas Makori said told the Star yesterday.

County by-laws outlaws grazing in the city without a permit.

“I have discussed the with the governor and I am waiting for an approval to auction the cows since we don’t know what the diseases they are carrying.

But Makori’s could be retaliation. In December, Tanzanian authorities auctioned more than 1,300 cattle belonging to Kenyans.

“As we speak, there is an outbreak of foot- and mouth disease in Dagoretti and Karen, so we will not relent on this,” Makori added.

In December, the county arrested more than 10 Maasai herders and held more than 500 livestock.

Speaking in his office, Makori said the animals were released after their owners paid fines of Sh5,000 per head.

“This fee is too small and we intend to review it upwards,” he said.

Prolonged drought is why rherders moved to the city to search for water and pasture.

But Makori said the herders came to the city because there is a ready market for their milk.

“They are here because they easily sell their milk to slum-dwellers and in other areas. They are selling unpasteurisd milk, which our laws prohibit,” he said.

Makori his officers have been facing a lot of problems,including attacks by herders and threats by influential people who own the animmals.

“Last week, our officers were attacked by herders in Eastlands after they seized a herd of cattle that were illegally being grazed there,” he said.

The crackdown on illegal herding was suspended for a week to seek the services and protection of the police.
 
give them back to the owners....we cant stoop to their level
 
Kila awamu na zama zake,
Tuliona Obama alijenga mahusiano akaja Trump anabomoa
Sisi pia JK alijaribu sana hadi akaitwa mtalii
Sasa ngoja tuvune tulichokipanda na huyu tulio nae
 
Tena baba YETU akisikia hii taarifa atasema

"na wauze haraka haraka walitumwa wakafuge nchi ya watu, Hao ni wahalifu serikali yangu Haina nafasi na majitu kama Hao, na iwe fundisho kwa wengine wakati ardhi ipo mpaka mkafugie kwa watu huo ni uchokozi, nawapongeza Sana wakenya hawa wakija tena Uzeni " in Maguful voice
 
Ukimwaga mboga ,mwenzio anamwaga ugali.
Picha letu limeanza ,Magu sterling kinyata Jambazi Mkuu.
 
Hakuna haja ya kuwauza ng'ombe hao. Wakenya tukifanya hilo ndo tutakuwa tumejishushia hadhi kabisa. Wenye ngombe wakamatwe, wapigwe faini za kufa mtu ndo iwabidi wauze ngombe wao kwa kupenda kwao ili waweze kulipa faini zenyewe. Hapo tutakuwa tumewapunguzia maaskari wa kaunti ya Nairobi kazi. Kufukuzana na wamaasai wenye 'silaha kali' italeta sitilesi bure tu.
 
Nyie jamaa vituko sana , Tz ng’ombe walipelekwa mahakamani, mahakama ikaamua walipe fine, wamiliki wakashindwa kulipa fine ndio wakapigwa mnada, ila nyie mnaonekana kama mnawashwa kuuza ng’ombe tu.

Kajiado na Narok ni pakame saivi, I bet hao ng’ombe ni wa wamasai wa Kenya.
 
Sasa kama ng'ombe ni wa wamaasai wa Kenya unawashawashwa ya nini? Ukivunja sheria za kaunti, kama kutupa takataka ovyo ovyo au kukosa permit ya kufanya biashara zako jijini, huwa haupelekwi mahakamani, unafikishwa tu pale City Hall, makao makuu ya serikali ya kaunti ya Nairobi. Tena wanaokukamata ni askari wa jiji, si Kenya Police. Ulitegemea wafikishwe mbele ya Chief Justice David Maraga pale mahakama ya kilele? Hehehe, hapa mtaongea na Gavana Mike Sonko, si rais Uhuru Kenyatta. Unaitwa ugatuzi huo.
 
Kwahiyo hao watu kwenye habari wameandamana kwaajili ya kutaka ng'ombe ziuzwe?
 
Back
Top Bottom