Nimeichukua hii. But Kwa huo mtaji nitaweza kupata ng'ombe? Au niendelee kufanya research?Bajaj ni depreciating asset, thamani yake inashuka kila mwaka , kuna mambo pia kama ajali, wizi yanayo weza kukuongezea gharama zisizo za msingi.
Ng'ombe, yeye ana anazaa, kifupi ataongeza thamani ya mtaji wako siyo kwa kutegemea uuzaji wa maziwa tu.
Naenda na ng'ombe pork usabatoni wataniuaNenda kwa ngombe w maziwa kama sehemu uliopo majani na pumba zinapatikana kwa wingi. Na pia cjui imani yako ungemaliza na nguruwe mbegu za kisasa. Usinge juta. Ni vzr kufanya vitu vinavyo fanana pia anasaidia uangalizi.
Kazi ni kipimo cha utu
Hii nimeichukua, nafanya research zaidi Kwa waliofanikiwa nilipo majani sio issue sanaBro kama una eneo fuga ngombe wa maziwa. Ngombe 1 unaweza ukammudu wewe mwenyeweg hakikisha una nyasi kwanza kwanza afu chakula cha dukani kiwepo kama nyongeza. Nunua mabeseni kadhaa nyasi unakata unaweka kwene mabeseni hapo home hata ukienda misele yako watamuekea chakula na sio uajiri kijana wa kazi kwa ngombe mmoja no. Ajiri kijana after ngombe amezaa ndio amhudumie atoe maziwa na hayo hayo maziwa ndo mshahara wake. Maji yasikose mda wote utakuja nishukuru baadae. Achana na bajaj kwanza. Ufugaji wa ngombe wa maziwa inahitaji uvumilivu tu na matunda yake utayaona.
acha utafiti anza wewe kama wewe bro unakuta watu wawili na wote ni madereva wa magari tena aina moja lakini mwingne anakuwa na mafanikio kumzidi mwenzake kama majani sio shda fuga ngombe nasema fuga mnyama bajaj utaipata kwahao ngombe tena mpya. Nimeenda.Hii nimeichukua, nafanya research zaidi Kwa waliofanikiwa nilipo majani sio issue sana
Thanks umemalizaacha utafiti anza wewe kama wewe bro unakuta watu wawili na wote ni madereva wa magari tena aina moja lakini mwingne anakuwa na mafanikio kumzidi mwenzake kama majani sio shda fuga ngombe nasema fuga mnyama bajaj utaipata kwahao ngombe tena mpya. Nimeenda.
SafiHizo biashara mbili zote ni nzuri na zinalipa .
Ila kupata MTU mwaminifu na sahihi hapo ndo changamoto zinaibuka
Ukiweza ku- win hapo hakuna biashara itakushinda.
Katika research yako jikite hapo kupata MTU mwaminifu kwanza. na self driven.
Kumbuka na yeye anaumwa na anakufa.Bajaj ni depreciating asset, thamani yake inashuka kila mwaka , kuna mambo pia kama ajali, wizi yanayo weza kukuongezea gharama zisizo za msingi.
Ng'ombe, yeye ana anazaa, kifupi ataongeza thamani ya mtaji wako siyo kwa kutegemea uuzaji wa maziwa tu.
Lakini risk ni ndogo sana hapa Mkuu.Kumbuka na yeye anaumwa na anakufa.
Sawa lakini kumbuka ng'ombe hatoi maziwa throughout the year ila bajaji inaweza. Vile bajaji ukinunua bajaji hapo inaanza kufanya kazi ila ng'ombe mpaka azae.Lakini risk ni ndogo sana hapa Mkuu.