Hao ng.ombe wa laki5 wanakua na umri gani?Mkuu kama unaona shida hao wa maziwa na kama bajeti 4m nenda kanunue ng'ombe wa laki5 watakuwa 8 dume wote wanenepeshe baada ya miezi 4 kila mmoja 1m kwahy ni 8milion kwa miezi minne

Angalia wakati ambao wanakuwa bei yake ipo chini uwaeza kununua ng'ombe mkubwa kwa bei pungufu na hapo Usiangalie umriHao ng.ombe wa laki5 wanakua na umri gani?