M Mr Gerome JF-Expert Member Joined Dec 6, 2019 Posts 672 Reaction score 907 Jul 22, 2026 #21 SILLENT KILLER 2 said: Mkuu kama unaona shida hao wa maziwa na kama bajeti 4m nenda kanunue ng'ombe wa laki5 watakuwa 8 dume wote wanenepeshe baada ya miezi 4 kila mmoja 1m kwahy ni 8milion kwa miezi minne Click to expand... Hao ng.ombe wa laki5 wanakua na umri gani?
SILLENT KILLER 2 said: Mkuu kama unaona shida hao wa maziwa na kama bajeti 4m nenda kanunue ng'ombe wa laki5 watakuwa 8 dume wote wanenepeshe baada ya miezi 4 kila mmoja 1m kwahy ni 8milion kwa miezi minne Click to expand... Hao ng.ombe wa laki5 wanakua na umri gani?
SILLENT KILLER 2 JF-Expert Member Joined Jun 12, 2024 Posts 881 Reaction score 1,720 Jul 22, 2026 #22 Mr Gerome said: Hao ng.ombe wa laki5 wanakua na umri gani? Click to expand... Angalia wakati ambao wanakuwa bei yake ipo chini uwaeza kununua ng'ombe mkubwa kwa bei pungufu na hapo Usiangalie umri
Mr Gerome said: Hao ng.ombe wa laki5 wanakua na umri gani? Click to expand... Angalia wakati ambao wanakuwa bei yake ipo chini uwaeza kununua ng'ombe mkubwa kwa bei pungufu na hapo Usiangalie umri