Uchaguzi 2020 Ngome za CCM vs Ngome za CHADEMA

Lissu kushinda Dar hawezi Jpm alishaiteka kisiasa toka 2015 ! Msijidanganyane!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ati nini? Jiwe na dar wapi na wapi! Hakuna sehemu jiwe anapaogopa kama dar, dar ni kama JF au yeye kwenda kwenye mdahalo.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Lissu akimshinda hashim lungwe tu naandamana peke yangu....yupo tu kama katelekezwa vile kampeni zake hazina ile kitu inaitwa presidential composition.
Kuna yule mpaka kapiga magoti ili apewe kura, mpaka sasa jeshi la akiba wamemaliza wote lakini bado hali ni ngumu sana kwa upande wao. Leo kaingia mchezaji wa mwisho lakini ndiyo kwanza kavuruga zaidi.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
CCM ya Magufuli sio chini ya 85%, ngome nyingi za saccos zipo hoi na wengi wao hawawezi mpa Tundu kura.
 
Lissu mnampamba sana humu kuliko uhalisia hawezi kufikia hata robo ya Kura za Lowassa 2015 huo ndo ukweli mchungu!
Lissu anapambwa au ndo ukweli wenyewe? Uzuri nilibahatika kuhudhuria mkutano wa Kassim Majaliwa jimboni Mwibara (lililokuwa jimbo la Kangi Lugola), PM alikuwa na watu wachache sana hadi aibu.Akauliza, "wangapi mtampigia kura Mhe.Magufuli?" wakanyosha mikono watu wachache zaidi. Watu wa mkoa wa Mara hawataki ujinga.

Lakini Tundu Lissu alikuja palepale baada ya siku kama 4 tangu PM ahutubie pale. Nyomi la pale lilikuwa balaaa tupu. Hata wanaCCM wenyewe wanakiri jamaa huyu ni shida.

Halafu unashangaa eti Dar iwe ngome ya Lissu? Ndiyo,inawezekana kabisa.Na sababu ni hizi:

1.Dar ina wasomi wengi wasio na ajira,hawa wana hasira kinoma na huyo stoneman.

2.Dar bado wana hasira dhidi ya Makonda ambaye alibebwa bebwa sana na Magufuli.Sasa wanataka kumwadhibu Magu kwa kwa maujinga ya Makonda.

3.Uchumi wa watu wengi wa Dar umevurugika ndani ya awamu ya 5. Si unajua wengi wa wakazi wa Dar ni mission towns?

Sasa wewe endelea kupuuza upepo wa TL.
 
Lissu akimshinda hashim lungwe tu naandamana peke yangu....yupo tu kama katelekezwa vile kampeni zake hazina ile kitu inaitwa presidential composition.

Kukosekana kwa mbowe kwenye kampeni mm nlishajua hii kampeni ya mwaka huu itakua mbaya!
 
Lissu akimshinda hashim lungwe tu naandamana peke yangu....yupo tu kama katelekezwa vile kampeni zake hazina ile kitu inaitwa presidential composition.
People like Polepole who spent most of their time explaining what they have done mean they have done nothing. Development is something which can be seen is not invisible. They are something wrong with this regime i pray day and night for the change cos is only thing we need now
 
Lissu anapambwa au ndo ukweli wenyewe? Uzuri nilibahatika kuhudhuria mkutano wa Kassim Majaliwa jimboni Mwibara (lililokuwa jimbo la Kangi Lugola), PM alikuwa na watu wachache sana hadi aibu.Akauliza, "wangapi mtampigia kura Mhe.Magufuli?" wakanyosha mikono watu wachache zaidi. Watu wa mkoa wa Mara hawataki ujinga.

Lakini Tundu Lissu alikuja palepale baada ya siku kama 4 tangu PM ahutubie pale. Nyomi la pale lilikuwa balaaa tupu. Hata wanaCCM wenyewe wanakiri jamaa huyu ni shida.

Halafu unashangaa eti Dar iwe ngome ya Lissu? Ndiyo,inawezekana kabisa.Na sababu ni hizi:

1.Dar ina wasomi wengi wasio na ajira,hawa wana hasira kinoma na huyo stoneman.

2.Dar bado wana hasira dhidi ya Makonda ambaye alibebwa bebwa sana na Magufuli.Sasa wanataka kumwadhibu Magu kwa kwa maujinga ya Makonda.

3.Uchumi wa watu wengi wa Dar umevurugika ndani ya awamu ya 5. Si unajua wengi wa wakazi wa Dar ni mission towns?

Sasa wewe endelea kupuuza upepo wa TL.

Uwe na heshima kidogo ukiongelea Dar

1601403490451.png

hii sio kampeni ujue

1601403586273.png

huu mwaka heshima itarudi tu
 
Back
Top Bottom