Kwa hali ilipofikia sasa ni kwamba Mheshimiwa Rais Dkt JPM alisahau kuwekeza kwa wananchi akawekeza zaidi kwenye uwekezaji wa vitu na miradi mbalimbali ndio maaana mambo yamekuwa magumu, kwa hesabu za haraka haraka hizi ndio ngome za Lissu na Ngome Za Magufuli
Lissu;
1. Dar
2. Arusha
3. Mbeya
4. Manyara
5. Iringa
6. Songwe
7. Kigoma
8. Zanzibar
9. Kilimanjaro
10. Mtwara
11. Singida
Magufuli
1. Mwanza
2. Dodoma
3. Tabora
4. Shinyanga
5. Mpanda
6. Katavi
7. Ruvuma
8. Lindi
9. Tanga
10. Simiyu
Hapa naona ngoma nzito kwa CCM ila ushindi utakuwa mwembamba sana inaweza isifike hata asilimia 50, yaani ni kama 49 kwa 48 sehemu zilizobaki uwezekano wa kugawana sawa ni mkubwa kwa makadirio ya wastani wa asilimia 96%