Uchaguzi 2020 Ngome za CCM vs Ngome za CHADEMA

Sio kwenye kura za ndani ya box, labda hizo kura atakazokuwa anatangaza Mahera. Kwenye hili hatubahatishi.
2010 mlibahatisha? 2015 mlipogeuzia gia angani kumbe mlikuwa mnabahatisha? Basi sawa. Nimekuelewa!
 
Mimi ni Cdm kindakindaki ila kwenye ukweli lazima niseme
 
2010 mlibahatisha? 2015 mlipogeuzia gia angani kumbe mlikuwa mnabahatisha? Basi sawa. Nimekuelewa!

Hujui unaoongea nini dogo, umesema hakuna mkoa Lisu atapata kura 100,000, nimekuambia sio kwenye box la kura, labda matokeo ya hao Makada wenu wa ccm huko tume. Sasa 2010 na 2015 ina mahusiano gani na maelezo yangu. Halafu hiyo 2010 na 2015 kura za cdm hazikuwa zinapungua bali zilikuwa zinapanda tu.
 
Ngome ya Chadema ilikua imebaki Moshi na Arusha lakini Moshi ndo ivo tena akienda anapigwa mawe na hatimae kahairisha mikutano! Arusha hatuna uhakika nako bado 50/50 influence ya Gambo Arusha ni kubwa kuliko ya Lema.
Imebidi nicheke
 
Angalia huko Mbeya leo barabara zina dekiwa,upinzani Tz bado sana mwaka huu Lisu atagawana na Lipumba 20%,zilizo baki za Magu,Magu hakitakiwa afanye kampeni ili aweze kushinda kwa 60%,lakini anafanya ili agaragaze mtu kwa kishindo
 
Naona mkuu, ngoja tusubiri matokeo
 
ndio
 
Mikoa yote wamekwisha ikataa Ccm,Mikoa yenye nafuu kwa ccm basis hawatapata zaidi ya 35% ya kura zote.Yaani kwa ujumla kama kutakuwa na haki ushindi wa Lisu kwa jumla ni 70-60%

Sent using Jamii Forums mobile app
Inabidi uweke kiti ukae kabisa maana bado sanaaaa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kigoma Chadema imeshakufa jimbo la kigoma mjini ubunge na udiwani ni ACT urais ni CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…