Ni bora ukweli usemwe hata kama ni mchungu
Mimi nafuatilia sana kampeni na uchaguzi huu kwa kila mgombea Urais hasa CCM na CHADEMA
Ukweli ni kwamba Nyomi ya watu ni kiashiria kimojawapo kwamba unakubalika kwa wapiga kura au wananchi
Ukweli ni kwamba ngome za CHADEMA au Lissu hadi sasa ni hizi zifuatazo
Dar
Kagera
Mara
Kilimanjaro
Arusha
Mbeya
Iringa
Songwe
Mwanza (hii ngome imishaenda kwa Lissu tuwe tu wakweli)
Manyara
Singida
Kigoma
Geita.
Ngome za CCM zilizobaki hadi sasa ni
Dodoma
Morogoro
Pwani
Katavi
Tanga
Tabora
Bado nafanya utafiti kwa Lindi na Mtwara