Uchaguzi 2020 Ngome za CCM vs Ngome za CHADEMA

Uchaguzi 2020 Ngome za CCM vs Ngome za CHADEMA

CHEF

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2013
Posts
222
Reaction score
122
Kwa hali ilipofikia sasa ni kwamba Mheshimiwa Rais Dkt JPM alisahau kuwekeza kwa wananchi akawekeza zaidi kwenye uwekezaji wa vitu na miradi mbalimbali ndio maaana mambo yamekuwa magumu, kwa hesabu za haraka haraka hizi ndio ngome za Lissu na Ngome Za Magufuli

Lissu;
1. Dar
2. Arusha
3. Mbeya
4. Manyara
5. Iringa
6. Songwe
7. Kigoma
8. Zanzibar
9. Kilimanjaro
10. Mtwara
11. Singida

Magufuli
1. Mwanza
2. Dodoma
3. Tabora
4. Shinyanga
5. Mpanda
6. Katavi
7. Ruvuma
8. Lindi
9. Tanga
10. Simiyu

Hapa naona ngoma nzito kwa CCM ila ushindi utakuwa mwembamba sana inaweza isifike hata asilimia 50, yaani ni kama 49 kwa 48 sehemu zilizobaki uwezekano wa kugawana sawa ni mkubwa kwa makadirio ya wastani wa asilimia 96%
 
Ngome ya Chadema ilikua imebaki Moshi na Arusha lakini Moshi ndo ivo tena akienda anapigwa mawe na hatimae kahairisha mikutano! Arusha hatuna uhakika nako bado 50/50 influence ya Gambo Arusha ni kubwa kuliko ya Lema.
 
Lissu akimshinda Hashim Rungwe tu naandamana peke yangu, yupo tu kama katelekezwa vile kampeni zake hazina ile kitu inaitwa presidential composition.
 
Kanda ya ziwa is a no man's land.

Kanda ya kati ni ngome ya ccm 2015 Magufuli kanda ya kati aliokota kura karibia milion moja.

Nyanda za juu kusini ni 50/50

Kanda ya kusini is likely ni no man's land kwa uchaguzi huu.
 
Tanga CCM wasitegemee sana. Kuna wa Pemba wengi wafanya biashara hawa ni ACT. Chadema pia ni wengi siku hizi. Ingawa wenyeji wa Tangawwengi bado CCM.
 
Back
Top Bottom