π¨π΅π³π°π²π¨Du !! Inahuzunisha mahusiano mengi leo ndiyo hivyo...kuna watu wapo ktk mahusiano kazi yao ni kuzima nuru ya wengine ...isije kuwaka
Sent using i phone x
Hakika hali inatisha.Katika zama hizi za ARV kauli mbiu iwe " Umdhanie Siye Ndiye"Kwa Tanzania ipi mkuu?
Siku hizi ngono imekua rahisi/nyepesi sana kuitenda! UKIMWi hauna tena attention ile iliyokua nayo miaka ya nyuma.
Isitoshe, perception/attitude ya watu kuhusu UKIMWI saiv ni tofauti na hapo awali yan miaka ya nyuma huko hivyo kupelekea kudharaulika kwa kias kikubwa!
Kinachotoa matumain ni kwamba ARV zipo na zinapatikana na mtu akipima akakuta anao, atapata dawa mapema (ni swala la kukubaliana na matokeo), saiv siyo jambo la aibu kutumia ARV kulinganisha na miaka ya nyuma sana!
Uwepo wa ARV unaficha mengi ya watu hivyo watu hatujali tena kuhusu hivyo! Zaidi tunazuia kisukar, presha nk...yote ya msingi!
Pia tukumbuke Homa ya ini ni hatar sana!
ARV ndy habari ya mjini siku hizi pamoja na kwamba kuna wengine inaweza wakataa hiyo dawa!
Kuruka tuka ndio ujanja.Ila dunia haina wema..ukitulia hutaki uhuni unaitwa shoga..
Hili jambo lanikera mno.
Ndio ujinga was UKIMWI uko very selective.... Kuna wapuuzi wengine wakichovya tu, tayari ngoma lakini kuna wale mbwa wengine hata wagonge ngozi vipi huwa wanabaki negative!! Mshukuru Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ugonge kavu ukiwa na akili timamu halafu utarajie Mungu akulinde!!! Aaagg wapi; inatokea tu! Ukiona hivyo ujue umeandikiwa kifo cha tofauti kama kufa kwenye fumanizi, kuuwawa na wasiojulikana, kufa maji, kuwekewa sumu au kufa kwa njaa!
Ila dunia haina wema..ukitulia hutaki uhuni unaitwa shoga..
Hili jambo lanikera mno.
hakuonekana na binti,hakuwahi kuihasi dini,lakini alikufa kwa ngoma