Kwa Tanzania ipi mkuu?
Siku hizi ngono imekua rahisi/nyepesi sana kuitenda! UKIMWi hauna tena attention ile iliyokua nayo miaka ya nyuma.
Isitoshe, perception/attitude ya watu kuhusu UKIMWI saiv ni tofauti na hapo awali yan miaka ya nyuma huko hivyo kupelekea kudharaulika kwa kias kikubwa!
Kinachotoa matumain ni kwamba ARV zipo na zinapatikana na mtu akipima akakuta anao, atapata dawa mapema (ni swala la kukubaliana na matokeo), saiv siyo jambo la aibu kutumia ARV kulinganisha na miaka ya nyuma sana!
Uwepo wa ARV unaficha mengi ya watu hivyo watu hatujali tena kuhusu hivyo! Zaidi tunazuia kisukar, presha nk...yote ya msingi!
Pia tukumbuke Homa ya ini ni hatar sana!
ARV ndy habari ya mjini siku hizi pamoja na kwamba kuna wengine inaweza wakataa hiyo dawa!