Ngono ilitaka kukatisha maisha yangu

Ni
Ni kweli kabisa ila vyumba vya ibada vimelifumbia macho suala hili hawaliongelei kwa undani wanawasubiri waumini wajikwae ili wawaombee wapate miujiza.
 
Ahsante kwa ushauri wa kitaalam lakini baada ya hayo yote waumini wenzake walikuja kunifariji kwa kuniombea na kuniambia waliijua hali yake ila walishindwa namna gani ya kunifikishia ujumbe ili niachane nae. Pia kwanini nilipomsihi twende tukapime hospitali alikataa akisema ili wakagundue nini?
 
Ahsante sana ni umakini wa hali ya juu unahitajika pale unapopata mwenza wako hata mkipima mkakuta hamna maambukizi bado kondom itahitajika hadi baada ya miezi mitatu huku ukimsoma zaidi tabia yake.
 
Ndo raha ya kujichanganya na kuielewa dunia.unawajua wadangaji, wahuni, walokole feki yaani kudanganyika si rahisi. Pole, uliingia chaka sababu hukuwafahamu wanawake.
 
We jamaa inaonekana unakurupuka sana kwenye mambo yako
 
Kama vile nimesoma sehem kua mdada aliitwa baadae hospital kuconfirm.
Ila hata kama angekua negative,that girl is heartless..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee mim ningerud huko church nkaomba nije ntoe ushuhuda kama boya vile, then hapo hlo Kanisa ndio hakuna rangi lingeacha ona hyo siku ya ushuhuda
Kanisa linakemea uasherati...mtoa mada kasahau walikua wanafanya uasherati kinyume na maagizo ya Mungu na Kanisa pia...kwa hiyo Kanisa lingewafanya nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ugonge kavu ukiwa na akili timamu halafu utarajie Mungu akulinde!!! Aaagg wapi; inatokea tu! Ukiona hivyo ujue umeandikiwa kifo cha tofauti kama kufa kwenye fumanizi, kuuwawa na wasiojulikana, kufa maji, kuwekewa sumu au kufa kwa njaa!
Mkuu Mungu Ni mwenye huruma na rehema...huruma yake yapita haki yake...anatupenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ooh Asante kunitoa tongotongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiwaamini watu wanaojiona wao ni wema kuliko wengine hususani wafia dini wengi wao hutumia dini kama kichaka. Pia ulifanya kosa la kiboya sana japo watu husema mke anapatikana popote kwangu mimi nasemaga ila si ktk nyumba za ibada mara nyingi wengi huingia huko kutafuta faraja after riding a cock carousel during their prime years yaani baada ya ku-retire whoring life na wengi huanzia miaka 27 na kuendelea. Ni watu wachache sana wapo ktk dini kwa roho na kweli wengi ni kichaka tu.
 
aisee kama mdogo wangu yaan wao walifunga ndoa kabisa kumbe dem na maza wake walikuwa wanajua kuwa demu kashaungua, dogo alivyogundua (na kugundua alibamba vidonge chini ya godoro afu na ile kliniki ya kwanza ya ujauzito ndio akapata uhakika) yaan dogo alikuwa anapima mpaka namwonea huruma.

aisee ndoa ishakufa dogo saiv analea mtoto wake ambae hayuko positive, haya mambo aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HAKUNA SHETANI ALIYEKUWEPO KABLA YA SHETANI....HAKUNA SHETANI ALIYETOKA KWA SHETANI......Mi nikimuona mtu anajifanya mlokole sana ..Mungu nyingi na Biblia nyingi huwa namuepuka kabisa....
 
100% true....yaani huwa nawaogopa sana watu wa design hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…