Cobra70
Senior Member
- Jan 2, 2020
- 178
- 376
- Thread starter
- #41
Ni
Ni kweli kabisa ila vyumba vya ibada vimelifumbia macho suala hili hawaliongelei kwa undani wanawasubiri waumini wajikwae ili wawaombee wapate miujiza.Pole sana aisee. Hawa mabinti ni kuwa nao makini sana wanaweza kukuua Bila huruma, unapoingia kwenye mahusiano muhimu kujari Afya yako kwanza usiogope kuonekana fala au mshamba. Haya mambo ya kuchomoa na kuchomeka yapo tu. Na miaka kama 2020 hii born with ni wengi sana. Lakini bado wanapenda dudu ivyoivyo hata kama ni wagonjwa.
Tufunge kwa maombi.
Sent using Jamii Forums mobile app