Ngono na mafanikio katika Biashara

Ngono na mafanikio katika Biashara

Adolfms

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2017
Posts
542
Reaction score
835
Habari ndugu zangu.

Naomba kujua kama kuna uhusiano wa kufanya mapenzi nje ya mke au mume wako then ikapelekea anguko katika Biashara.

Je, ukifanya ngono na mtu asiye wako kuna laana inaweza tokea au ni nadharia tuu. Je, nikweli matajiri huwa hawachepuki?
 
Uhusiano upo tena mkubwa sana.

Usiparamie wanwake yalioshindikana huko halafu ukadhani hautachukua mikosi.Mtu katoa mimba 10,kajichubua peeee,kucha bandia,matako bandia,nywele bandia,kope bandia,chale mwili mzima,chini huko uchi unaungwa na vipipi,marashi sijui ya jini maana demu mwenyewe kuna mda anapandisha mashetani.

Wewe kwa akili yako,mwanamke km huyu unalala nae nyama kwa nyama.Unadhani hautachukua mikosi?????unataka kuonekana kidume kwa mambo ya kipuuzi ???

Unafanya energy exchanging na mtu mwenye mambo kibao usijue kwenye ulimwengu wa roho jinsi unavyojiingiza kwenye matatizo...

Kila kitu kinaanza kutokea kwenye ulimwengu wa roho.Hujawhi kumiliki chochote km kwenye ulimwengu wa roho hujaruhusu kumiliki.

Ukiwa kwenye mahusiano kuna mawili wewe utaiga tabia za uliyenae au yeye ataiga zako au mtaigana.Ukiwa na rafiki hivyo hivyo

Ukienda kijijini kabisa kukaa utaiga tabia zao au wao wataiga zko au mtaigana.

Sasa km miingiliano ya kawaida tu mtu anapoteza sifa yake ya asili,mali,utu wake sembuse ya nyama to nyama.
 
Habari ndugu zangu.

Naomba kujua kama kuna uhusiano wa kufanya mapenzi nje ya mke au mume wako then ikapelekea anguko katika Biashara.

Je ukifanya ngono na mtu asiye wako kuna laana inaweza tokea au ni nadharia tuu. Je nikweli matajiri huwa hawachepuki?
Yaani hii kitu isikie tu kwa wenzako, ipo na ina work out, usijaribu utafilisika
 
Habari ndugu zangu.

Naomba kujua kama kuna uhusiano wa kufanya mapenzi nje ya mke au mume wako then ikapelekea anguko katika Biashara.

Je ukifanya ngono na mtu asiye wako kuna laana inaweza tokea au ni nadharia tuu. Je nikweli matajiri huwa hawachepuki?
CC Mshana Jr
 
Hizi mambo kizungumkuti sanaa,
Vipi mkuu umeingia chaka nini mambo yakaaza kupita njia yake??

Nahisi kikubwa ni kuachana na maovu uwezavyo,
Kinyume na hapo kila mambo yakipinda utahisi ni sababu ya maovu kumbe basi tuu ni nature, wewe unaishia kujilaumu..

Kuna mtu kila biashara anayoanzisha haiendi, yeye anamini ni mikosi na maovu yake ya nyuma, kumbe ni upepo tuu, na kuna wazee wa nyuchi mwanzo mwisho ila bingo zinakaa, ndio wale watu wanaishia kusema hafiki popote, njemba mishe zinazidi kukaa..

Be fair, ujue moja, mimi nyota yangu ni msoto, kuliko kuwekeza nguvu kuhangaika kuamini mambo ya kufikirika.

Mimi labda uniambie kama unachezea vizinga kiwango cha SGR maan hili lipo wazi wazi ila kiimani Sijui.
 
Nahisi hakuna uhusiano wowote maana asilimia kubwa hao wenye hela ndio wafanya uzinzi wakubwa Sana kwahiyo kama kungekuwa na tatizo basi tungejua Tu

Lakini pia watu ambao hawana kipato kikubwa ndio hao ambao hawajihusishi na uzinzi kwahiyo wao ndio wangekuwa na maisha mazuri

Chenye ukweli ambao wengi tumethibitisha ni kuwa kuna uhusiano Kati ya maendeleo yako na mwanamke ulienae permanent, kuna mwanamke mwingine ukiwa nae unapata Sana Mishe na kipato kinaongezeka Ila mwingine ndio unazidi kuelemewa tu na dunia, nahisi hapa ni mambo ya nyota either zinaendana au zinakataana
 
Uhusiano upo tena mkubwa sana.

Usiparamie wanwake yalioshindikana huko halafu ukadhani hautachukua mikosi.Mtu katoa mimba 10,kajichubua peeee,kucha bandia,matako bandia,nywele bandia,kope bandia,chale mwili mzima,chini huko uchi unaungwa na vipipi,marashi sijui ya jini maana demu mwenyewe kuna mda anapandisha mashetani.

Wewe kwa akili yako,mwanamke km huyu unalala nae nyama kwa nyama.Unadhani hautachukua mikosi?????unataka kuonekana kidume kwa mambo ya kipuuzi ???

Unafanya energy exchanging na mtu mwenye mambo kibao usijue kwenye ulimwengu wa roho jinsi unavyojiingiza kwenye matatizo...

Kila kitu kinaanza kutokea kwenye ulimwengu wa roho.Hujawhi kumiliki chochote km kwenye ulimwengu wa roho hujaruhusu kumiliki.

Ukiwa kwenye mahusiano kuna mawili wewe utaiga tabia za uliyenae au yeye ataiga zako au mtaigana.Ukiwa na rafiki hivyo hivyo

Ukienda kijijini kabisa kukaa utaiga tabia zao au wao wataiga zko au mtaigana.

Sasa km miingiliano ya kawaida tu mtu anapoteza sifa yake ya asili,mali,utu wake sembuse ya nyama to nyama.
Duh, yaani mtu akiisoma hii na anamchepuko pembeni tayari kwa mambo yao naona jogoo atalala mazima hatawika na hivyo atarudi kwa mkewe😜! Kuna watu mnaandika msg za kukatisha tamaa isee😀😂🤣!
 
Habari ndugu zangu.

Naomba kujua kama kuna uhusiano wa kufanya mapenzi nje ya mke au mume wako then ikapelekea anguko katika Biashara.

Je ukifanya ngono na mtu asiye wako kuna laana inaweza tokea au ni nadharia tuu. Je nikweli matajiri huwa hawachepuki?
Aziniye na mwanamke hana akili,maana anafanya jambo la kumuangamiza. so,ukitaka laana na mabalaa ya ajabu ajabu fanya uzinzi. Kuna roho ya kufifisha mafanikio iko kwenye uzinzi.trust this!
 
Duh, yaani mtu akiisoma hii na anamchepuko pembeni tayari kwa mambo yao naona jogoo atalala mazima hatawika na hivyo atarudi kwa mkewe[emoji12]! Kuna watu mnaandika msg za kukatisha tamaa isee[emoji3][emoji23][emoji1787]!

Usiogope mzee baba

Kuna uhalisia mzee hata ukiwa na mchepuko lzm uchague wenye afadhi usiokote okote
 
Mimi nnachoelewa ni issue ya unajisi, mwanamke na mwanaume wanatakiwa kuwa safi ili kuweza kupokea baraka. Zipo taratibu za kujiweka safi kadri ya imani na maandiko

Na hii ya unajisi inaweza kuwa ndani ya ndoa
Au nje ya ndoa ambayo inakua ni dhambi ya zinaa pamoja na unajisi
 
Masada wenye nuksi wapo ila sio wengi kivile kiasi cha kufikia hatua ya kuifanya punyeto kama mbadala wa kuchepuka
 
Ndo wanaongoza kuchepuka ngono ni uchafu kama uchafu mwingine.

Usilopenda kutendewa usitende hapo ndipo yalipo mafanikio

Ni kujidanganya, Kula maisha kijana unadhani mwenzako hachepuki. Mimi hakuna masuala ya kubaki na mwanamke mmoja.
 
Back
Top Bottom