Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Kuna connection kubwa sana hapo hasa kama mmojawenu nyie wanandoa ana nyota kali kisha akaenda kuchepuka na kukutana na mtu mwenye gundu ni hatari sana hii kituHabari ndugu zangu.
Naomba kujua kama kuna uhusiano wa kufanya mapenzi nje ya mke au mume wako then ikapelekea anguko katika Biashara.
Je, ukifanya ngono na mtu asiye wako kuna laana inaweza tokea au ni nadharia tuu. Je, nikweli matajiri huwa hawachepuki?
.. Na hapa si ishu ya biashara tuu.. Ukiwa na project yoyote hata ya ujenzi wa nyumba epuka tamaa za kuchepuka! Mradi unaweza ufike mahali ufie hapohapo