Yaani hii kitu isikie tu kwa wenzako, ipo na ina work out, usijaribu utafilisikaHabari ndugu zangu.
Naomba kujua kama kuna uhusiano wa kufanya mapenzi nje ya mke au mume wako then ikapelekea anguko katika Biashara.
Je ukifanya ngono na mtu asiye wako kuna laana inaweza tokea au ni nadharia tuu. Je nikweli matajiri huwa hawachepuki?
CC Mshana JrHabari ndugu zangu.
Naomba kujua kama kuna uhusiano wa kufanya mapenzi nje ya mke au mume wako then ikapelekea anguko katika Biashara.
Je ukifanya ngono na mtu asiye wako kuna laana inaweza tokea au ni nadharia tuu. Je nikweli matajiri huwa hawachepuki?
Duh, yaani mtu akiisoma hii na anamchepuko pembeni tayari kwa mambo yao naona jogoo atalala mazima hatawika na hivyo atarudi kwa mkewe😜! Kuna watu mnaandika msg za kukatisha tamaa isee😀😂🤣!Uhusiano upo tena mkubwa sana.
Usiparamie wanwake yalioshindikana huko halafu ukadhani hautachukua mikosi.Mtu katoa mimba 10,kajichubua peeee,kucha bandia,matako bandia,nywele bandia,kope bandia,chale mwili mzima,chini huko uchi unaungwa na vipipi,marashi sijui ya jini maana demu mwenyewe kuna mda anapandisha mashetani.
Wewe kwa akili yako,mwanamke km huyu unalala nae nyama kwa nyama.Unadhani hautachukua mikosi?????unataka kuonekana kidume kwa mambo ya kipuuzi ???
Unafanya energy exchanging na mtu mwenye mambo kibao usijue kwenye ulimwengu wa roho jinsi unavyojiingiza kwenye matatizo...
Kila kitu kinaanza kutokea kwenye ulimwengu wa roho.Hujawhi kumiliki chochote km kwenye ulimwengu wa roho hujaruhusu kumiliki.
Ukiwa kwenye mahusiano kuna mawili wewe utaiga tabia za uliyenae au yeye ataiga zako au mtaigana.Ukiwa na rafiki hivyo hivyo
Ukienda kijijini kabisa kukaa utaiga tabia zao au wao wataiga zko au mtaigana.
Sasa km miingiliano ya kawaida tu mtu anapoteza sifa yake ya asili,mali,utu wake sembuse ya nyama to nyama.
Aziniye na mwanamke hana akili,maana anafanya jambo la kumuangamiza. so,ukitaka laana na mabalaa ya ajabu ajabu fanya uzinzi. Kuna roho ya kufifisha mafanikio iko kwenye uzinzi.trust this!Habari ndugu zangu.
Naomba kujua kama kuna uhusiano wa kufanya mapenzi nje ya mke au mume wako then ikapelekea anguko katika Biashara.
Je ukifanya ngono na mtu asiye wako kuna laana inaweza tokea au ni nadharia tuu. Je nikweli matajiri huwa hawachepuki?
Duh, yaani mtu akiisoma hii na anamchepuko pembeni tayari kwa mambo yao naona jogoo atalala mazima hatawika na hivyo atarudi kwa mkewe[emoji12]! Kuna watu mnaandika msg za kukatisha tamaa isee[emoji3][emoji23][emoji1787]!
Ndo wanaongoza kuchepuka ngono ni uchafu kama uchafu mwingine.
Usilopenda kutendewa usitende hapo ndipo yalipo mafanikio
Uko sahihi mkuu, wanawake wazuri walivyojaa? Umuachie nani?Ni kujidanganya, Kula maisha kijana unadhani mwenzako hachepuki. Mimi hakuna masuala ya kubaki na mwanamke mmoja.