Kuna connection kubwa sana hapo hasa kama mmojawenu nyie wanandoa ana nyota kali kisha akaenda kuchepuka na kukutana na mtu mwenye gundu ni hatari sana hii kituHabari ndugu zangu.
Naomba kujua kama kuna uhusiano wa kufanya mapenzi nje ya mke au mume wako then ikapelekea anguko katika Biashara.
Je, ukifanya ngono na mtu asiye wako kuna laana inaweza tokea au ni nadharia tuu. Je, nikweli matajiri huwa hawachepuki?
Hapana ngono inatumika sana huharibu biashara ama mipango yoyote mizuri ya kikazi au kimaishaMimi naamini hajukuna uhusiano katika Hilo, ila siungi mkono matendo hayo.
Tayari nipo mkuu
Ni uchafu na njia mbaya.Kwani MUNGU amesema nini kuhusu habari ya "uzinzi" na "uasherati"??
Kuna ndugu mmoja miaka ya nyuma kidogo mkoa wa morogoro Ni mfanya biashara wa maduka, hotel na baa.Hapana ngono inatumika sana huharibu biashara ama mipango yoyote mizuri ya kikazi au kimaisha
Inakuaje kwa anayezini na mwanaume? Haimuhusu?Aziniye na mwanamke hana akili,maana anafanya jambo la kumuangamiza. so,ukitaka laana na mabalaa ya ajabu ajabu fanya uzinzi. Kuna roho ya kufifisha mafanikio iko kwenye uzinzi.trust this!
Yaani Demi wewe!loh[emoji2][emoji2][emoji2]Inakuaje kwa anayezini na mwanaume? Haimuhusu?
Sa mbona unanicheka, nataka kujua...ukute bandiko halinihusu najibanabana bure tu hapa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sa mbona unanicheka, nataka kujua...ukute bandiko halinihusu najibanabana bure tu hapa
Unazidi kunicheka, hivi kweli umekosa jibu la kunipa
Punguza utundu mweh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unazidi kunicheka, hivi kweli umekosa jibu la kunipa
Duh,hii ni hatari,Kwahiyo Hata Billgate naye karibuni atafilisika,maana nimesoma mahali wanasema kisa cha kuachana na mkewe ni kuwa aligundulika anachepuka...Uhusiano upo tena mkubwa sana.
Usiparamie wanwake yalioshindikana huko halafu ukadhani hautachukua mikosi.Mtu katoa mimba 10,kajichubua peeee,kucha bandia,matako bandia,nywele bandia,kope bandia,chale mwili mzima,chini huko uchi unaungwa na vipipi,marashi sijui ya jini maana demu mwenyewe kuna mda anapandisha mashetani.
Wewe kwa akili yako,mwanamke km huyu unalala nae nyama kwa nyama.Unadhani hautachukua mikosi?????unataka kuonekana kidume kwa mambo ya kipuuzi ???
Unafanya energy exchanging na mtu mwenye mambo kibao usijue kwenye ulimwengu wa roho jinsi unavyojiingiza kwenye matatizo...
Kila kitu kinaanza kutokea kwenye ulimwengu wa roho.Hujawhi kumiliki chochote km kwenye ulimwengu wa roho hujaruhusu kumiliki.
Ukiwa kwenye mahusiano kuna mawili wewe utaiga tabia za uliyenae au yeye ataiga zako au mtaigana.Ukiwa na rafiki hivyo hivyo
Ukienda kijijini kabisa kukaa utaiga tabia zao au wao wataiga zko au mtaigana.
Sasa km miingiliano ya kawaida tu mtu anapoteza sifa yake ya asili,mali,utu wake sembuse ya nyama to nyama.
Haya bwana ila huo mstari upo kwenye biblia...aziniye na mwanamke.
Sex is not only about sex it is also about soul tiesHabari ndugu zangu.
Naomba kujua kama kuna uhusiano wa kufanya mapenzi nje ya mke au mume wako then ikapelekea anguko katika Biashara.
Je, ukifanya ngono na mtu asiye wako kuna laana inaweza tokea au ni nadharia tuu. Je, nikweli matajiri huwa hawachepuki?
Kuna mademu watamu sana ukichepuka nao....mikosi weka pembeniUhusiano upo tena mkubwa sana.
Usiparamie wanwake yalioshindikana huko halafu ukadhani hautachukua mikosi.Mtu katoa mimba 10,kajichubua peeee,kucha bandia,matako bandia,nywele bandia,kope bandia,chale mwili mzima,chini huko uchi unaungwa na vipipi,marashi sijui ya jini maana demu mwenyewe kuna mda anapandisha mashetani.
Wewe kwa akili yako,mwanamke km huyu unalala nae nyama kwa nyama.Unadhani hautachukua mikosi?????unataka kuonekana kidume kwa mambo ya kipuuzi ???
Unafanya energy exchanging na mtu mwenye mambo kibao usijue kwenye ulimwengu wa roho jinsi unavyojiingiza kwenye matatizo...
Kila kitu kinaanza kutokea kwenye ulimwengu wa roho.Hujawhi kumiliki chochote km kwenye ulimwengu wa roho hujaruhusu kumiliki.
Ukiwa kwenye mahusiano kuna mawili wewe utaiga tabia za uliyenae au yeye ataiga zako au mtaigana.Ukiwa na rafiki hivyo hivyo
Ukienda kijijini kabisa kukaa utaiga tabia zao au wao wataiga zko au mtaigana.
Sasa km miingiliano ya kawaida tu mtu anapoteza sifa yake ya asili,mali,utu wake sembuse ya nyama to nyama.
hiyo ni kweli mkuu,Habari ndugu zangu.