Ngono ndio chanzo cha umasikini wetu wanaume

Pombe haileti umaskini

Zinaa ndio inaleta umaskini

Ingekuwa pombe inaleta umaskini wachaga wangekuwa nyuma sana.

Wanaume wa kichaga karibu wote huwa wanakunywa pombe kila siku.

Ila bado hawawi maskini

Kila mtaa unaokaa lazima awepo baba wa kichaga anaeenda bar kila siku jioni.

Ila ukimshindanisha maendeleo yake na majirani ambao hawanywi pombe bado unakuta huyo baba wa kichaga ndie ana maendeleo mazuri
 
acha ujinga, ni sawa na kusema kula kunaleta umasikini
 
That's true. Hata demu wangu nilishawahi kumwambia, "mwanamke akiwa ombaomba sana atatumika sana kingono, mwanaume mpenda ngono awe tayari kupoteza sana pesa."
Kuna mshkaji wangu alianza kujitegemea kutafuta pesa zake mwenyewe tangu ana miaka 20, hadi sasa ana 33 hana chochote zaidi ya watoto kibao kisa kuendekeza ngono.
 
Sii mmeumbwa kwa ajili yetu..
Sa Ndo uzoezoe πŸ€”????? Hahahaha.. Wee mwenyewe vingine unaishia kusema nhiiiiiiiiiiiiiπŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£!
 
Kwani hela tunatafuta za nini ww jamaa! Si za kupigia miti. Au ww unatafuta hela za kulia Maandazi!?

Tutafute pesa kwa wingi ili tukidhi mahitaji yetu jameni.

Ss huyu masikini ameshindwa kutmb kisa hana pesa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…