Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vitabu vya dini vinatukataza lakini hatusikii kiukweli ngono siyo nzuriWasalaam wakuu!
Mara kadhaa nimesikia watu watu wakiilaumu pombe kama chanzo cha ufukara, mimi nakataa, nasema kuendekeza mayenu ni hatari zaidi ya pombe.
Kwa kifupi hakuna kiungo hatarishi kwa uchumi wa mwanaume kama vipochi manyoya. Sisi watu wa #kataa ndoa na baadhi ya waraibu wa mbunye walioko katika ndoa, tunapambana na visiki katika kuutafuta utelezi, kubali kataa, huo ndio ukweli, na hapa ipo!!
Ili kufanikisha zoezi la kukatiana mayenu na kipochi manyoya kwa mara kwanza gharama kama nauli, pombe, msosi, hoteli, n.k bila kusahau hela ya asante asubuhi lazima vihusike. Na baada ya hapo usipokuwa mjanja, mara nyingi vipochi manyoya hugeuka omba omba na kuanza kulia njaa hovyo hovyo.
Shikamoo uteleziii[emoji119]
Keep timeMm sipendi ngono kivile ila ni maskini wa kutupwa, unaniambiaje juu ya hilo?