Ngono ndio chanzo cha umasikini wetu wanaume

Ngono ndio chanzo cha umasikini wetu wanaume

Nina experience zote 2. Kabla nilikuwa sina time na mademu kabisa. Nikaona kama najibana sana, nikawa na wawili watatu, daaah outing moja inakata laki, ukichukua wa kuku kienyeji 50 inaenda. Basi ukipiga hesabu kwa mwezi roho inaniuma sana. Kinachosaidia kidogo situmii pombe
Na hapo ushukuru mungu hautumii pombe kama sisi ila ungekua unatumia pombe hakuna rangi ungeachaa ona bro😂
 
Mimi mtu bahil sana.
Kuna kitoto kimoja kikali cheupe cha kimeru nikakijaza ndani ya 18 kesho nikakipige miti, kimwanafunzi cha DIT.
Nikapiga hesabu za haraka haraka chumba nauli vinywaji nikaona kama 80k, bado invoice ya huduma. Nikachek mambo mengine ya msingi nikaona mbona hii 80k ina solve fresh tu, nikaghairi.
Yan kutiana tu kuniingize gharama yote hii??
Aaaahhh sio kwel
Yani hapa mjini ukitaka kumloweka mdada atleast uwe na ka laki, labda uokote wale wakina mwajuma ndala ndefu ambao hata gest ya buku 5 wanazama au uanze kula mabeki 3 na viwanafunzi kama bodaboda
 
Tunapenda Warembo Huku Tukijua Hatuna Uwezo Wa Kuwagharamia. Hizo Sio Level Zetu Tutafute Level Zetu. KIJANA MWENYE AKILI OA.
 
Mwanangu umenikumbusha machungu
Manzi nlimvuta toka mkoa x
Kafika nkalipa gest
Kuja kitandani ni 0.00
Kila unapomgusa NAUMIAAAA
yaan hadi nkagaili game
Na nlitumia kama 100 hivii

Wewekidemuwakuitwanasranasemahivinkunduwakooo🤭
 
Mutual-ism both parties benefit by living together.

Wanasema baki na hela zako na wao wanabaki na utelezi wao.
 
Wasalaam wakuu!

Mara kadhaa nimesikia watu watu wakiilaumu pombe kama chanzo cha ufukara, mimi nakataa, nasema kuendekeza mayenu ni hatari zaidi ya pombe.

Kwa kifupi hakuna kiungo hatarishi kwa uchumi wa mwanaume kama vipochi manyoya. Sisi watu wa #kataa ndoa na baadhi ya waraibu wa mbunye walioko katika ndoa, tunapambana na visiki katika kuutafuta utelezi, kubali kataa, huo ndio ukweli, na hapa ipo!!

Ili kufanikisha zoezi la kukatiana mayenu na kipochi manyoya kwa mara kwanza gharama kama nauli, pombe, msosi, hoteli, n.k bila kusahau hela ya asante asubuhi lazima vihusike. Na baada ya hapo usipokuwa mjanja, mara nyingi vipochi manyoya hugeuka omba omba na kuanza kulia njaa hovyo hovyo.

Shikamoo uteleziii[emoji119]
Wasaalamu ndio nini?
 
Rkelly, Pdiddy, Mystikal, Tyson, Franco, sani abacha, wanamichezo weeengi n.k...
Wote hao walipotezwa au waliyumbishwa kwa kuendekeza starehe za kuunganisha mikojo..
 
Back
Top Bottom