Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 3,984
- 5,820
Kuna UTI mkuu. Bora ungekazia kwenye kupiga bia na kitimoto.Ukiwa na hela ya kutosha, huwezi kamwe kutoa angalizo la aina hii. Kwa hiyo ushauri wangu kwenu vijana ni huu hapa; tafuteni hela kwa bidii ili muweze kufaidi mema yote ya hapa duniani.
Kwani ukipendwa ndo hutoi hela [emoji3]Tatizo sio ngono, tatizo mnatumia nguvu nyingi kupata ngono.... mnaingia gharama nyingi kupata wanawake
Ukiona hupendwi, jikatae. Cut your losses, and walk away.
Umalaya gharama sana, mi ndo maana demu akizingua huwa sibembelezi mara mbili [emoji3]Utumie nguvu au usitumie mkuu gharama za ngono ni kubwa. Piga hesabu zako utaona.
Umetoka kupigwa kitu mkuu?[emoji16]Inafikirisha sana starehe ya lisaa kimoja ikuingize gharama za namna hiyo, na hata uipige masaa 5 anatoka anadunda, huku wewe ukibaki unapambana na pakiti za AZUMA mpaka unawehuka
Kama umeniona vile, nipo napambana nayo hapa pakti ya Azuma, hahaInafikirisha sana starehe ya lisaa kimoja ikuingize gharama za namna hiyo, na hata uipige masaa 5 anatoka anadunda, huku wewe ukibaki unapambana na pakiti za AZUMA mpaka unawehuka
Stapanov gani unakimbia mbususu kisa 80k na wewe, hahaMimi mtu bahil sana.
Kuna kitoto kimoja kikali cheupe cha kimeru nikakijaza ndani ya 18 kesho nikakipige miti, kimwanafunzi cha DIT.
Nikapiga hesabu za haraka haraka chumba nauli vinywaji nikaona kama 80k, bado invoice ya huduma. Nikachek mambo mengine ya msingi nikaona mbona hii 80k ina solve fresh tu, nikaghairi.
Yan kutiana tu kuniingize gharama yote hii??
Aaaahhh sio kwel
Ishu sio 80k..ishu ni 80k vs Mbususu stuffs ujinga ujinga tu nikaona 80 is more worthyStapanov gani unakimbia mbususu kisa 80k na wewe, haha
Mimi siku wema sepetu akinikubalia hata 2M naimaliza kwa ajili yake, hahaIshu sio 80k..ishu ni 80k vs Mbususu stuffs ujinga ujinga tu nikaona 80 is more worthy
Uzinzi gharsma sn mkuuUtumie nguvu au usitumie mkuu gharama za ngono ni kubwa. Piga hesabu zako utaona.
Mi labda UwoyaMimi siku wema sepetu akinikubalia hata 2M naimaliza kwa ajili yake, haha
Haha, imagine pillow talk na Wema sepetu mwanangu, noma sanaMi labda Uwoya
Sana tu, hawa wenzetu wanajua sisi tunazo mda wote, lazima utoe huduma.Uzinzi gharsma sn mkuu
factMuongo.
Kuna watu hawana demu wala nini ni masikini skwea
Maaanina 😁🙌Haha, imagine pillow talk na Wema sepetu mwanangu, noma sana
Umewaza nini Kaka.?Wasalaam wakuu!
Mara kadhaa nimesikia watu watu wakiilaumu pombe kama chanzo cha ufukara, mimi nakataa, nasema kuendekeza mayenu ni hatari zaidi ya pombe.
Kwa kifupi hakuna kiungo hatarishi kwa uchumi wa mwanaume kama vipochi manyoya. Sisi watu wa #kataa ndoa na baadhi ya waraibu wa mbunye walioko katika ndoa, tunapambana na visiki katika kuutafuta utelezi, kubali kataa, huo ndio ukweli, na hapa ipo!!
Ili kufanikisha zoezi la kukatiana mayenu na kipochi manyoya kwa mara kwanza gharama kama nauli, pombe, msosi, hoteli, n.k bila kusahau hela ya asante asubuhi lazima vihusike. Na baada ya hapo usipokuwa mjanja, mara nyingi vipochi manyoya hugeuka omba omba na kuanza kulia njaa hovyo hovyo.
Shikamoo uteleziii[emoji119]
Bei Gani ?Uzi wa maskini