Ngono ndio chanzo cha umasikini wetu wanaume

Na hapo ushukuru mungu hautumii pombe kama sisi ila ungekua unatumia pombe hakuna rangi ungeachaa ona bro😂
 
Yani hapa mjini ukitaka kumloweka mdada atleast uwe na ka laki, labda uokote wale wakina mwajuma ndala ndefu ambao hata gest ya buku 5 wanazama au uanze kula mabeki 3 na viwanafunzi kama bodaboda
 
Tunapenda Warembo Huku Tukijua Hatuna Uwezo Wa Kuwagharamia. Hizo Sio Level Zetu Tutafute Level Zetu. KIJANA MWENYE AKILI OA.
 
Mwanangu umenikumbusha machungu
Manzi nlimvuta toka mkoa x
Kafika nkalipa gest
Kuja kitandani ni 0.00
Kila unapomgusa NAUMIAAAA
yaan hadi nkagaili game
Na nlitumia kama 100 hivii

Wewekidemuwakuitwanasranasemahivinkunduwakooo🤭
 
Mutual-ism both parties benefit by living together.

Wanasema baki na hela zako na wao wanabaki na utelezi wao.
 
Wasaalamu ndio nini?
 
Rkelly, Pdiddy, Mystikal, Tyson, Franco, sani abacha, wanamichezo weeengi n.k...
Wote hao walipotezwa au waliyumbishwa kwa kuendekeza starehe za kuunganisha mikojo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…