Ngono ni ibada na madhabahu

Simba anatumia Sana hii njia,
 
Mimi nilishtukia hili chap nikaacha ngono Faster sikupoteza muda. Nikitapata muda taeleza why niliacha
 
Kwahyo tusiishi na wake zetu au tufanyeje sasa Mshana Jr
 
Baraka au mikosi ya ngono inategemea unakutana na Nani Kwny ngono?

Kuna wanawake naturally Wana upepo mzuri, ukipiga michongo yako inanyooka.
mfano mzuri:wema sepetu,mamaJ n.k[emoji4]
Mwanaume yeyote ukilala na mwanamke unampa nguvu zako...

Hata biblia imesema usimpe malaya nguvu zako....

Kadiri unavyolala hovyo na wanawake kuna nguvu kubwa ya kiroho unaigawa kwao.
 
Ni muhimu mtu kuyatafakari haya na ndio maana tunashauriwa kusomana vyema na kuwa tayari kwa matokeo ya mpenzi au mwenza uliyenaye.
 
Beba hii umebeba maroho mangapi?
 
Baraka au mikosi ya ngono inategemea unakutana na Nani Kwny ngono?

Kuna wanawake naturally Wana upepo mzuri, ukipiga michongo yako inanyooka.
mfano mzuri:wema sepetu,mamaJ n.k[emoji4]
Daah! Kuna Mwanamke wangu huyo yaani nikianza kuchat naye tuu,,, tukiwa tunataniana juu ya kukutana apo apo kama nilikuwa Sina hata pesa ya lodge muamala unaita chaap.
 
Daah! Kuna Mwanamke wangu huyo yaani nikianza kuchat naye tuu,,, tukiwa tunataniana juu ya kukutana apo apo kama nilikuwa Sina hata pesa ya lodge muamala unaita chaap.
I had the same gal
 
Nimeona kichwa cha uzi nikaja mbio nipate madini,
lakini nimekuta maswali badala ya ufafanuzi🤔
 
Mshana tatzo unatumia filosofi Sana kufafanua mawazo yako, utadhan wahenga[emoji1787]

Be simple,
Ebu tumia lugha nyepesi basi,
Kama vile tuko kijiweni tunapiga story.

Dah!
Yaan comment yako Ni ngumu ngumu sn[emoji4]
Kweli kbs Mshana Jr tunaomba uongee kwa kiswahili kbs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…