Ngono ni ibada na madhabahu



Kasie making love ni kufanya mapenzi ambako kunatanguliwa na maandalizi hisia, upendo, mahaba, trust, care no
Sex ni ngono inaweza kufanyika bila hata maandalizi upendo hisia nk.. Sex iko kibiashara zaidi.. Kitaa wanasema kuosha rungu
 
Mshana labda atwambie riski ya mikosi inalala Zaid kwa wale wanaokutana na watu wengi tofauti tofauti kingono.

Maana kiuhalisia wenye nyota nzur kwny jamii Huwa Ni wachache sn ukilinganisha wenye nyota mbaya.

Mf:
Playboy anaweza Kupiga ke 10,
wenye nyota 1 tu, waliobaki mikosi mitupu

Kahaba anaweza kupigwa na ME 50,
wenye nyota 2 TU, waliobaki mikosi mitupu
 
Pia risk ya mikosi kwny ngono haitembei kua kwa multiple partners TU.

Unaweza kua mmoja tu umpendae na kumuamini, ila akawa na mikosi na mabalaa lukuki.

Hapa Lazima tuwe makini na tunaojamiiana nao[emoji4]
 
Mshana tatzo unatumia filosofi Sana kufafanua mawazo yako, utadhan wahenga[emoji1787]

Be simple,
Ebu tumia lugha nyepesi basi,
Kama vile tuko kijiweni tunapiga story.

Dah!
Yaan comment yako Ni ngumu ngumu sn[emoji4]
Yaani iko hivi
NGUVU na usafi wa kiroho vina mahusiano makubwa sana na ngono.. Kadiri unavyofanya ngono na watu wachache ndivyo nguvu na usafi wako kiroho unavyokuwa mkubwa
LAKINI
Kadiri unavyongonoka na wengi unatapanya nguvu zako huku nawe ukibeba nguvu zao.. Hatufanani nguvu, hivyo mwisho wa siku unajikuta una mixer moja hatari sana ya NGUVU tofauti mwilini mwako

Hizo sasa ndio zitakuletea stress, mikwamo, nuksi hasira kupoteza vitu kushindwa nknk
 

Unashauri nini Mshana Jr
 
Ndio maana baadhi ya makahaba wazoefu kuna wateja huwa wanawakimbia, maana akienda naye tuu ni mikosi mwanzo mwisho
 
Kasie making love ni kufanya mapenzi ambako kunatanguliwa na maandalizi hisia, upendo, mahaba, trust, care no
Sex ni ngono inaweza kufanyika bila hata maandalizi upendo hisia nk.. Sex iko kibiashara zaidi.. Kitaa wanasema kuosha rungu

Asante, nilitaka ufike hapa, rejea mada namba 1 pale juu.....

Hii kubadilishana nguvu hasi na chanya na roho kuingiliana wakati wa tendo, inafanyika kwenye ngono tuu ambayo ni namba 2 (sex).

Au hata namba 1 (making love)???

Am holding a declaration 😊.
 
Ndio maana baadhi ya makahaba wazoefu kuna wateja huwa wanawakimbia, maana akienda naye tuu ni mikosi mwanzo mwisho na hili huwakuta sana mabaamedi
 
Exactly or rather automatically.. Kitendo cha kuingiliana tuu tayari mmeshafanya energy exchange
 
Ngono ya Kiroho Ni Nini? Jibu Lako Linasemaje
Je, ngono ni mbaya kama wengine walivyoiandika? Je, ngono hata ina pande chanya zinazoweza kuathiri maisha ya mwanamume?
ngono ni ya kiroho; ikoje kiroho? Je kuna ngono ya kimwili?
 

Okay, inawezekana kutoa nguvu hasi zilizoingia mwilini kutokana na ngono?

Je, chumvi ya mawe hapa inahusika kama tiba?

Je, inakuwaje kila unapotoka kujamiiana na mtu wako umpendae ukawa unaoga maji ya chumvi ya mawe huku ukinuiza nguvu hasi zikutoke (mikosi na liana vya unayengonoka nae).... inafanya kazi?

Au nguvu nyingine zikiingia ndo unaambatana nazo hadi kifo?

Kuna namna ya kurejesha nguvu ulizoziacha kwa uliojamiiana nao? (Rejuvinate your energy)??

Sijui nachanganya madesa...😁🤔🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…