Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #41
Chumvi ni tiba bora kabisa lakini kama mwenzi wako ni mchafu kiroho na kabeba negative energy nyingi unapaswa kujitenga naye ... Maana utajisafisha lakini atakuchafua tenaOkay, inawezekana kutoa nguvu hasi zilizoingia mwilini kutokana na ngono?
Je, chumvi ya mawe hapa inahusika kama tiba?
Je, inakuwaje kila unapotoka kujamiiana na mtu wako umpendae ukawa unaoga maji ya chumvi ya mawe huku ukinuiza nguvu hasi zikutoke (mikosi na liana vya unayengonoka nae).... inafanya kazi?
Au nguvu nyingine zikiingia ndo unaambatana nazo hadi kifo?
Kuna namna ya kurejesha nguvu ulizoziacha kwa uliojamiiana nao? (Rejuvinate your energy)??
Sijui nachanganya madesa...[emoji16][emoji848][emoji848]