Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mkuuHata kwa wanaume hii ipo saana tu.
Unaweza jitunza Sana,Yaani iko hivi
NGUVU na usafi wa kiroho vina mahusiano makubwa sana na ngono.. Kadiri unavyofanya ngono na watu wachache ndivyo nguvu na usafi wako kiroho unavyokuwa mkubwa
LAKINI
Kadiri unavyongonoka na wengi unatapanya nguvu zako huku nawe ukibeba nguvu zao.. Hatufanani nguvu, hivyo mwisho wa siku unajikuta una mixer moja hatari sana ya NGUVU tofauti mwilini mwako
Hizo sasa ndio zitakuletea stress, mikwamo, nuksi hasira kupoteza vitu kushindwa nknk
Hapa sikupingi mkuu[emoji4][emoji106]Ndio maana baadhi ya makahaba wazoefu kuna wateja huwa wanawakimbia, maana akienda naye tuu ni mikosi mwanzo mwisho
Mkuu umeandika vizuri ila umemaliza vibaya. Unajitoleaje mfano wa kiazi? Unajua mtu akikuita kiazi amekutukana Sana?Wakati unaandika hii comment ulikuwa katika state gani kifikra? Sijaelewa kitu..au mimi ni kiazi!!
Sheria mkononi haihusiana na hayo maroho bhanaSo unawanywesha maroho wachafu..
[emoji23][emoji23]
Duh[emoji3064]Mkuu umeandika vizuri ila umemaliza vibaya. Unajitoleaje mfano wa kiazi? Unajua mtu akikuita kiazi amekutukana Sana?
Mtu akikuambia wewe kiazi anamaanisha hauliwi bila kutiwa Dole gumba ili kimong'onyoke Kisha ndiyo kiwekwe mdomoni.
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Comment yangu haijahamasisha tuwe na mahawara wengi, Bali imeongelea uhalisia wa mtoa mada alichotaka kutuaminisha.Chifu acha kupotosha, hii dhambi itakutafuna hadi kizazi chako cha 3 & 4.
Umesahau kipi kilichompata Mfalme Suleiman aliyekuwa na Ke 300 baada ya kuchepuka na Masuria 700 waliombadilisha akamuasi Mungu na kuabudu miungu hatimaye akajuta na kuona yote ni ubatili mtupu pasipo kumcha Mungu?
Chunguza vizuri matokeo mwisho wa safari huwaje wala si mwenendo wa ngono, utanishukuru.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
1. Mfatilie wema,Yani hili kweli kabisa,,kuna papuchi ukitunukiwa mambo yananyooka ila kuna nyingine sasa loh, utaandamwa na nuksi hadi hio nguvu ikiisha ndani kwako
Nimecheka sana, hizo ni roho za kishetani ndizo zinazomtumikisha huyo Mtu.unakuta mtu anapiga nyeto, anatomber malaya wa kila aina, anatazama porn za kila aina.. na anatoboa tu..
Hatari sana Kaka, yani kuna vifungo Mtu ukitoka unaona kabisa ni neema za Mungu wala si kwa ujanja wako Binadamu...[emoji16]Niliwahi kuishi ktk utumwa huo zaidi ya miaka 8, nikiwa napoga punyeto zaidi ya mara 6(goli) kwa siku 1.[emoji3064][emoji3064][emoji2827]
Sema hii naona kwa wanawake ndo inakuaga sana ,wanatumika bila wao kujua.......shida siku hizi watu wanataka kurukaruka ndoa ndo hawataki au kutulia na mtu m1, hapo angetunuku njemba 1 anatulia nayo hio njemba ikikua inakua nae, na zamani wazee wengi walikua wanaenda hivyo......,kwa sasa naonaga sana kwa wahindi na waarabu, wanawake wao wanatulia tu nyumbani wanaume wanatafuta,ila kismati cha wanaume kupata michongo ya pesa kinatoka kwa wanawake, ndo maana jamaa kwa wake zao wanakua wadogo ila huku nje ndo mikwara mingi1. Mfatilie wema,
Kawasindikiza Wanaume wangapi ktk utajiri,mafanikio na umaarufu wao,
angalia maisha yake Sasa,amefifia sn kiuchumi na Anasikitisha Sana[emoji26]
2. Mwangalie masanja mmakonde
Kawaangusha Wanaume wangapi ktk utajiri wao,mafanikio na umaarufu wao.
Angalia maisha yake Sasa, ana-shine kiuchumi na anazidi kunawiri[emoji4]
Duuuh [emoji15][emoji4]Mkuu umeandika vizuri ila umemaliza vibaya. Unajitoleaje mfano wa kiazi? Unajua mtu akikuita kiazi amekutukana Sana?
Mtu akikuambia wewe kiazi anamaanisha hauliwi bila kutiwa Dole gumba ili kimong'onyoke Kisha ndiyo kiwekwe mdomoni.
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Basi siku moja unialike nije nishuhudieEeh mara moja moja.
Nakuelewa vizuri sanaHatari sana Kaka, yani kuna vifungo Mtu ukitoka unaona kabisa ni neema za Mungu wala si kwa ujanja wako Binadamu...[emoji16]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Unapambana sana Chifu ilimradi tu usipoteze kombe lako la Mama J Mchepuko wako [emoji28]Comment yangu haijahamasisha tuwe na mahawara wengi, Bali imeongelea uhalisia wa mtoa mada alichotaka kutuaminisha.
Ni sawa na yule anayesema,
"Pombe inamaliza pesa,huwezi kujenga"
Tutajiuliza Ni mashehe na wasabato wangapi hawajajenga japo hawanywi pombe.