Ngono ni ibada na madhabahu

Ngono ni ibada na madhabahu

Ngono sio ngono tu; usiwaache wakudanganye.

Unaweza kuondoka, lakini nguvu zao zimefungwa kwako. Mawazo yao, mitetemo yao, na nafsi hufungamana na yako. Ikiwa una uhusiano wa kingono na watu kadhaa kwa wakati mmoja, basi unachukua nguvu kadhaa. Ndio maana kuna wakati unajihisi kuchanganyikiwa, huzuni, uchovu, hasira, furaha, au mfadhaiko. Huishi peke yako tena; una nguvu zao hasi na chanya mchanganyiko.
Tunawezaje kutoka huko
 
Mimi kila siku nabishana na watu kuhusu hili naona watu taratibu wanaanza kupata akili kuhusu ulimwengu
Ukitaka kuelewa ulimwengu achana na stori za zamani ishi kulingana na wakati utagundua mengi ila kiufupi umeongea jambo zuri ila ulipomtaja Shetani tuu hapo umenisikitisha
 
[emoji1545][emoji1] but sorry Iblis Bin Shetan
 
Kuna demu flani nilishakuta kwenye self yake ya bafuni kuna chumvi ya magadi, hii inamanisha nini??
Anaitumia kujitakasa kiroho, kuleta mvuto na kinga kwa mambo hasi bila kusahau kuondoa mapooza
 
Back
Top Bottom