kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Hakika pana nguvu ya ajabu inayosabisha uumbaji. Ni tendo takatifu mbele ya Mungu ili mradi kuwe na makubaliano. Na Mungu kategeshea kuwa raha namba one.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hapa chief ukimrecognise mke wa mtu inakuaje?
Kwa hiyo ukigusa hapa tu umeyavagaa kama Shabani Kaoneka,ndoige ,Palasu Palasu nk zote zako.Beba hii umebeba maroho mangapi?View attachment 2510832
Kwa hiyo hili gegedo langu ni zana ya ibadaMwanaume au mwanamke anapofanya mapenzi je anabarikiwa au analaanika? Je, anapata uchungu, au furaha?
Je, anahisi upendo, je, anakupenda? Ngono ni ibada ya kubadilishana nguvu, mawazo, hisia, na roho. Wakati wa ngono unakuwa sifongo ya kiroho kwa fahamu na nishati ya mtu mwingine.
Jiulize, "Je, yanachaji upya, yanaponya na kujaza roho yako? Au yanamaliza nguvu zako na nguvu za maisha?" Kuwa mwangalifu na Nguvu za Kweli Zinazomiliki Ngono. Mashetani wapo na watakunyonya roho yako!
Umenikumbusha G na N huyo N alinipa wakati mgumu sana dadeqDaah! Kuna Mwanamke wangu huyo yaani nikianza kuchat naye tuu,,, tukiwa tunataniana juu ya kukutana apo apo kama nilikuwa Sina hata pesa ya lodge muamala unaita chaap.
Share PDFKuna kitabu nakisoma sahivi kinaitwa Semen rentation miracle.
Umo kuna mazaga zaga yote kuhusu mwanaume ambavyo anatakiwa kuzitunza shahawa zake. (Shahawa za Mwanaume ndio nguvu zake kiroho
Kufanya mapenzi kuna madhara gani?Kasie making love ni kufanya mapenzi ambako kunatanguliwa na maandalizi hisia, upendo, mahaba, trust, care no
Sex ni ngono inaweza kufanyika bila hata maandalizi upendo hisia nk.. Sex iko kibiashara zaidi.. Kitaa wanasema kuosha rungu