Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Mzungu aligeuza Ngorongoro kuwa Hifadhi mwaka 1959 kabla ya hapo mbona Wamasai hawakuiharibu? Kama Wamasai ni waharibifu wa mazingira kwa nini Mzungu aliikuta ikiwa intact?
Kwa wasiojua Mkoloni Mjerumani alikuwa anaitumia Ngorongoro kama sehemu ya kufugia Wanyama, na kulikuwa na mpango wa kuhamishia Makaburu (boers) kutoka AK waje kulima na kufuga kwenye crater bahati mbaya Vita Kuu ikaanza Ujerumani kushindwa vita na Uingereza kuchukuwa na kugeuza Ngorongoro kuwa hifadhi ya Monarchy.
Sasa swali langu, kwanini Wamasai waliishi na Crater miaka yote na hawakuharibu hadi mwaka 1959 Mzungu alipogeuza hifadhi?
Ngorongoro ni mali ya English Monarchy kwa wasio jua na siyo kwa vizazi vyenu kama mnavyodanganywa.