Ngorongoro, Karatu, Monduli & Longido ziunganishwe

Ngorongoro, Karatu, Monduli & Longido ziunganishwe

Kufanya vita na nani? Kwa sababu gani?
Wamedhulumiwa, wakiongea mnasema washughulikiwe? Kweli?
Ni ukatili uliopitiliza!
Ni watanzania na wana haki zote za kiraia...dola lao halijawaacha...serikali yao adhimu iko nao....waendelee kueleweshwa juu ya UTAKATIFU wa JMT tulivu...

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Jamii moja ya Masai inapatikana katika Wilaya tajwa ziunganishwe kuwaletea maendeleo kwa haraka
Itoe karatu hapo, asilimia kubwa ya akaratu si maasai.
jitahidi ujue jamii zinazokaa maeneo hayo, si masai tu. Na sehem nyingine masia si wengi
 
Wamasai wanadekezwa sasa. Ni muda wa dola kuwashughulikia kwa wivu mkubwa.
Mkuu kugawa maeneo yao ya asili kwa ujanja ujanja sio makosa? This is going to backfire somewhere along the way, in the very near future.

Kuna mambo ni ya kuyaacha. Kujaribu kuyabadili yataleta shida. nashauri hilo neno kudekezwa liondolewe kwenye namna ya kufanyia kazi hii issue
 
Wakamatwe na kushtakiwa kwa kukaidi amri halali
 
Wakamatwe na kushtakiwa kwa kukaidi amri halali

Amri gani halali? Kuna wakati kwa kukosa maarifa, binadamu tunaamua kujiangamiza. Mambo haya madogo madogo yakisambaa kila sehemu, hayatakuwa tena madogo na kuyazuia itakuwa ngumu sana.

Pilau chakula kitamu sana. Tukishashiba pilau ni vizuri tukalale tusisumbue watu kwa kupulizia ushuzi
 
Umeona leo asubuhi huko Ngorongoro wamasai walivyokuwa wengi hao wakianza Resistance si hatari sana.
Resistance na fimbo? Mkidhibitiwa hamchelewi kulia lia. Nendeni Msomera pale Ngorongoro pahifadhiwe kwa manufaa ya Taifa
 
Back
Top Bottom