Ngorongoro, Karatu, Monduli & Longido ziunganishwe

Mwarabu ni nani ?!!

Mwekezaji akija anaangaliwa kwa "ethnicity" yake ?!!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Siku zote ukitafakari,ukaona huwezi,ndo chanzo cha wasioweza kufanikisha mambo yao kupitia wewe.
Kipi wawekezaji wanakiweza,wazawa hawakiwezi?
Tatizo ni utaratibu na uajibikaji.
Nchi zilizoendelea,zina njia halali za kuwatambua na kuwalinda raia wake.
Kwa manufaa ya nchi,kuna haja ya kuwepo mjadala na kuongea na walengwa.
Siyo kulazimisha. Ina maana Tanzania nzima haina watu wa kusimamia shughuli za kuendesha hifadhi,mpaka wageni?
Kama hawanufaiki na ujirani wa hifadhi,leo watafaidi nini huko wanakotaka kupelekwa?

Nchi nyingi za Afrika,zinahitaji utawala kama wa china.
 
Mkuu kugawa maeneo yao ya asili kwa ujanja ujanja sio makosa? This is going to backfire somewhere along the way, in the very near future.
n
Kuna mambo ni ya kuyaacha. Kujaribu kuyabadili yataleta shida. nashauri hilo neno kudekezwa liondolewe kwenye namna ya kufanyia kazi hii issue
Hakuna raia anayemiliki ardhi Tanzania. Ardhi ni ya nchi nzima chini ya Rais. Ikipatikana ardhi yenye maslahi kwa taifa unahamishwa kwa kupewa fidia kama wamasai walivyopewa Msomera. Ukikaidi unaondolewa kinguvu na ikibidi utapigwa tu. Hao masai wanavutiwa tu pumzi muda ukifika ndo watajua dola haina utani.
 
Kuna siku nyingine sio lazima kuandika kama huna hoja. Ardhi kuwa ya Rais sio mali binafsi ya Rais. Na Rais ana haki ya matumizi ya ardhi kwa mambo yenye tija na muhimu kwa maendeleo ya nchi yetu.
Wamasai kama wamekuwa wengi, wakitolewa asipewe mtu mwingine kwa vigezo anawekeza. Ngorongoro ipo for ages. Anakuja kuwekeza nini? Tunajuaje kama anakuja kuiba na sio kuwekeza?
 
Hakika
 
Sitoi maoni ili kufurahisha mtu. Jipe muda utaona kitakachowapata hao masai wakiendelea kukaidi.
 
Ngorongoro kuna wahuni wananufaika na uwepo wa wamasai. Kuna NGOs nyingi kwa ajili ya wamasai laki moja tu. Ni uhuni mtupu. NCAA huwa inatumia pesa nyingi sana kuhudumia hawa watu. Hizi NGOs nadhani kwa sasa waende usukumani kuwatetea badala ya kung'ang'ania Ngorongoro
 
Point. Mjini mipango
 
Resistance na fimbo? Mkidhibitiwa hamchelewi kulia lia. Nendeni Msomera pale Ngorongoro pahifadhiwe kwa manufaa ya Taifa
Huo uwendawazimu wa kuwaondoa watu toka maeneo yao asilia na kuwatupa mbali kabisa, haujafanyika hata mara moja. Huu ushenzi umefanyika kwa mara ya kwanza. Siku zote watu wanapoondpshwa eneo fulani kupisha mradi fulani, huwa hawahamishwi zaidi ya 20km. Lengo ni ili waendelee kuwepo kwenye maeneo waliyoyazoea, waendelee kutumia elimu yao waliyo nayo ya kuyamuda mazingira waliyoyazoea.
 
Back
Top Bottom