Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Ni watanzania na wana haki zote za kiraia...dola lao halijawaacha...serikali yao adhimu iko nao....waendelee kueleweshwa juu ya UTAKATIFU wa JMT tulivu...Kufanya vita na nani? Kwa sababu gani?
Wamedhulumiwa, wakiongea mnasema washughulikiwe? Kweli?
Ni ukatili uliopitiliza!
Fuatilia Rebelions huwa zinaanzaje hebu soma Historia.Hawatafanya kitu
Watanzania wa aina yako ndio wanarudisha nyuma nchi yetu. Nani kakudanganya wewe ndio mwenye Tanzania kuliko watu wengine?Au wajamaa warudishwe kwao Kenya
Sawa...Kulinda ARDHI ya ASILI ni SABABU hata Wakiasi na kudai kujitenga na kujiunga na Kenya wana Haki.
[emoji7][emoji7]Watanzania wa aina yako ndio wanarudisha nyuma nchi yetu. Nani kakudanganya wewe ndio mwenye Tanzania kuliko watu wengine?
"Warudishwe" na Ardhi yao na Wanyamapori wao.Au wajamaa warudishwe kwao Kenya
Itoe karatu hapo, asilimia kubwa ya akaratu si maasai.Jamii moja ya Masai inapatikana katika Wilaya tajwa ziunganishwe kuwaletea maendeleo kwa haraka
Makabila yote yana Ardhi unamaana gani "hayakuwa"?!Sawa...
Makabila yote hayakuwa na ardhi za ASILI?!!
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mwarabu ni nani ?!!Waarabu watawekewa kambi ya jeshi
Ongezea na kiteto na simanjiro basi ili usiwaache. Plus Narok kenyaJamii moja ya Masai inapatikana katika Wilaya tajwa ziunganishwe kuwaletea maendeleo kwa haraka
[emoji1787][emoji1787][emoji7]"Warudishwe" na Ardhi yao na Wanyamapori wao.
Watandikwe tu. Huwez kufanya mazungumzo na mhalifuSawa...
Makabila yote hayakuwa na ardhi za ASILI?!!
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mkuu kugawa maeneo yao ya asili kwa ujanja ujanja sio makosa? This is going to backfire somewhere along the way, in the very near future.Wamasai wanadekezwa sasa. Ni muda wa dola kuwashughulikia kwa wivu mkubwa.
Wakamatwe na kushtakiwa kwa kukaidi amri halaliMkuu kugawa maeneo yao ya asili kwa ujanja ujanja sio makosa? This is going to backfire somewhere along the way, in the very near future.
Kuna mambo ni ya kuyaacha. Kujaribu kuyabadili yataleta shida. nashauri hilo neno kudekezwa liondolewe kwenye namna ya kufanyia kazi hii issue
Masai wanapswa kutii sheria vinginevyo kipondo kinawahusu.Kulinda ARDHI ya ASILI ni SABABU hata Wakiasi na kudai kujitenga na kujiunga na Kenya wana Haki.
Wakamatwe na kushtakiwa kwa kukaidi amri halali
Umeona leo asubuhi huko Ngorongoro wamasai walivyokuwa wengi hao wakianza Resistance si hatari sana.Masai wanapswa kutii sheria vinginevyo kipondo kinawahusu.
Resistance na fimbo? Mkidhibitiwa hamchelewi kulia lia. Nendeni Msomera pale Ngorongoro pahifadhiwe kwa manufaa ya TaifaUmeona leo asubuhi huko Ngorongoro wamasai walivyokuwa wengi hao wakianza Resistance si hatari sana.