Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Kwahio faida ya Fisi ni Mtalii kuwaangalia ?!!! AU wewe / binadamu una faida zaidi kuliko wanyama wote ? ndio hapo tunakuja kwenye ecosystem kila kitu kina faida na impact yake mara nyingine huja kuonekana baada ya muda mrefu sana...., takupa mfano..., Australia walileta Sungura kutoka Europe; Huko Europe kulikuwa na Predators (Fox na Mwewe) waliokuwa wanawala hawa sungura hivyo ku-maitain population yao....Tunatakiwa tuwe na hifadhi za ambazo zenye wanyama ambao ni artificial siyo hii ya kufuga wanyama ambao hata hawana faida, baada ya miaka 40 ijayo hakuna mtu atakuja kuangalia fisi, sijui nyumba toka Ulaya, kutakuwa na wanyama ambao ni robot wenye tabia kama za wanyamapori, lazima tubadilike tuachane na hawa wanyama asili tujikije kwenye artificial
Kufika Australia hakuna predators walijaa kwa kuzaliana hadi kupelekea kumaliza vegetation zote (ili kuwa-maintain ilibidi waintroduce bacteria wa kuwauwa)
Ngoja nikupe hii hadithi pia; Mfalme mmoja ambae mwanae aliumwa na nyoka akafa alikasirika sana na kutoa dau la dhahabu kwa kila atakayeleta nyoka aliyemuua (watu wakaingia kazini na kuwaondoa nyoka wote kwenye ile nchi) baadae wakashangaa baada ya muda kukazuka tatizo la Panya hadi wakawa kero (little did they know kwamba wale nyoka walikuwa wanawa-put in check wale panya)