Ngorongoro sio sehemu ya makazi ya binadamu bali ni hifadhi ya wanyamapori

Kwahio faida ya Fisi ni Mtalii kuwaangalia ?!!! AU wewe / binadamu una faida zaidi kuliko wanyama wote ? ndio hapo tunakuja kwenye ecosystem kila kitu kina faida na impact yake mara nyingine huja kuonekana baada ya muda mrefu sana...., takupa mfano..., Australia walileta Sungura kutoka Europe; Huko Europe kulikuwa na Predators (Fox na Mwewe) waliokuwa wanawala hawa sungura hivyo ku-maitain population yao....

Kufika Australia hakuna predators walijaa kwa kuzaliana hadi kupelekea kumaliza vegetation zote (ili kuwa-maintain ilibidi waintroduce bacteria wa kuwauwa)

Ngoja nikupe hii hadithi pia; Mfalme mmoja ambae mwanae aliumwa na nyoka akafa alikasirika sana na kutoa dau la dhahabu kwa kila atakayeleta nyoka aliyemuua (watu wakaingia kazini na kuwaondoa nyoka wote kwenye ile nchi) baadae wakashangaa baada ya muda kukazuka tatizo la Panya hadi wakawa kero (little did they know kwamba wale nyoka walikuwa wanawa-put in check wale panya)
 
Fisi wanataka nao wawe kwenye conservation wanasema nao ni kivutio Cha utalii
 
Tuwe na jibu moja kuwa Wamasai wahamishwe ili kupisha Mamlaka ya Ngorongoro
 
Wala rushwa mmelipwa kuwashambulia wamasai
Masai ashambuliwe kwa lipi?.Maeneo ya asili ni muhimu yakahifadhiwa kwa namna yoyote.hii misitu tunaiona haina umuhimu ila mvua zikigoma kunyesha tunaanza kelele hadi kuomba.sasa itakua ujinga kumruhusu binadamu haaribu mazingira kwasababu ya ufugaji wa ngombe ambao anaweza kuwapeleka mahali pengine.Tatizo la wafugaji wakimasai wao hawataki kuumiza kichwa kuboresha mazingira ya malisho yao,ndo maana kote walikohamia wameishia kuvamia mashamba ya wakulima nakuleta mgogoro.Kwahiyo kuna haja yakuelimisha hii jamii ikajitambua na ikawa ni sehemu ya utunzaji wa mazingira.Hata wakiachwa hspo ngorongoro haita chukua muda wataanza kulumbana wenyewe kwa wenyewe sababu ya malisho.ni swala la muda tu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo unaona ni sawa wanyama wa asili wakitoweka ili tuje tuangalie robot?.Punguza kiwewe.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mungu akujalie baba yetu Lowasa upone haraka usaidie wanangorongoro

Kawaida ya watz ni kuwa , panapokuwa na mtu mashuhuri eneo husika huheshiimika sana. Mifano ni mingi ila natoa tu mfano wa Lo.... Hapajawahi kuwa na misigano kama inayoendelea kuhusu ngorongoro kama hii inayoendlea sasa. Nakumbuka wamasai wamefaidi sana enzi za EL , walilipwa fidia ya ng'ombe baada ya ukame uliosababisha kufa ng'ombe wao. Haijawahi tokea sehemu nyingine nchini.
Sasa EL yuko kitandani pamoja na kuwa naye ni mmoja wa wanaomiliki mahotel huko Ngorongoro, dhahama zimeanza.
Namwombea heri apone haraka wamasai tutendewe haki.
 
Tembo wa Ngorongoro wameenda wapi ?
 
Watalii wataenda Burigi
 
Loliondo land case
 
Masai ni wachafu naturally. Wanaume wa kimasai hawatumii vyoo wanakunya hovyo porini. Tuseme tu ukweli. Waondolewe haraka nasema. Hawa watu sio tu wezi wa mifugo bali pia waharibifu sana. SERIKALI HARAKA JAMANI NGORONGORO INAANGAMIA. Povu ruxa
 
Soma tafiti kama hizi wacha kupayuka kama kalunguyeye.
 
Huko interaction ya binadamu na wanyama ni ya kitambo sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…